Unatafuta Haki ya Kuandamana na sio kutafuta haki ya kumiliki Madini Ya nchini kwako!!
SATIVA na Kundi lake ni Wasenge Kuma Woooo!!
Na Neno Haki ni neno la Kipumbavu sana!!
Piganieni Kumiliki Ridhiki Zenu!!
Mimi mtu akiniambia haamini uchawi kama upo nashangaa sana. Wazee wasukuma Wana dawa wakuuu sio mchezo linachorwa duara ng'ombe wakiwa kati Kati mzee hata aende iringa ng'ombe hawatoki kwenye like duara hadi aje mwenyewe kufuta🙌
@kasesco_tz Kma ulipiga bachela degree "with education au marketing" unaruhusiwa kusomea masta tofauti na uliyosoma kwenye degree ila kama degree yako ni bachela degree "IN HISTORY" inabidi ukomae na hiyo hiyo.
Shida ipo kwenye Distribution tu ndio imepelekea bidhaa kuwa HABA sokoni!!
Depo ya Pepsi ya Jiji la Mwanza inazidia wa Depo ya Coca wilaya ya KIBONDO
Kilomita 100 kutoka Kutoka DSM hata pepsi inapatikana kwa shida pia
Soko la soda za Pepsi lipo sana kanda ya ziwa tena ukiagiza inabidi ukae hata wiki mbili unasubiri mzigo
SBC Mwanza inazidiwa wateja mpaka sometimes inabidi uagize mzigo Dar es salaam, kama una kibunda wekeza kwenye hiyo sector.
Tarehe 7/7 SabaSaba
KITAWAKA SAAANAAA!!
Kwenye hii Round of 32
👇🏻
Argentina atamkanda Verde
Ataingia Round of 16.
Egypt atamshenyeta Australia
Ataingia Round of 16.
Tarehe 7/7 sabasaba
watakutana.
Utachezwa mchezo number 95
kati ya
Argentina vs Egypt.
Kitawaka sanaaa!!
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Unajua kwanini kitawaka??
Kwasababu mmoja anasherekea Uhuru, mwingine anasherekea mapinduzi!!
Kumbuka mataifa yote haya mawili mwezi wa saba kwao ni mwezi mkubwa sana.
Argentina anasherekea uhuru July 9th
Egypt anasherekea mapinduzi July 23.
July 7/7 kwa moto sanaaaaa!!!
Zifungwe Big Screen Tu Mtaani.
Mechi kali hii.
#Ad
Kama tangu World Cup inaanza hujapiga hela leo kuwa makini na huu mkeka😎
Bonyeza link 👉 https://t.co/Tgiroiv6xC Chambua odds taratibu usisahau hizi option kuziangalia
#TunaondokaNaVunjaBeiBet
Mahakama ya Wilaya ya Seoul Nchini Korea Kusini imemhukumu Kim Keon Hee, Mke wa Rais wa zamani Yoon Suk Yeol, kifungo cha miaka saba jela baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zawadi za kifahari kwa ajili ya upendeleo wa kisiasa.
Katika kesi hiyo imebainika kuwa Kim amepokea zawadi mbalimbali za thamani kubwa zikiwemo vito vya dhahabu, mkufu wa Van Cleef & Arpels, brooch ya Tiffany, pete za Graff, begi la Dior, pamoja na saa ya Vacheron Constantin na mchoro wa thamani kubwa.
Aidha, Mahakama imesema zawadi hizo zimetolewa na Watu mbalimbali waliokuwa wakitafuta upendeleo wa kisiasa na nafasi za juu serikalini kupitia ushawishi wake kama Mke wa Rais, hali iliyotajwa kuharibu imani ya umma kwenye mfumo wa Uongozi.
Katika huku hiyo, ilibainishwa kuwa Kim ametumia nafasi yake kushawishi upatikanaji wa ajira na fursa za Serikali kwa Watu waliompa zawadi hizo, jambo lililoathiri uwazi na usawa katika utendaji wa Serikali.
Hata hivyo, Kim amekanusha mashtaka hayo na kupitia Mawakili wake na ameeleza kuwa atakata rufaa dhidi ya hukumu hiyo, wakati akiwa tayari anakabiliwa na kesi nyingine zinazohusiana na rushwa na udanganyifu wa kifedha.
#MillardAyoUPDATES
Hapa afrika kuanzia leo nitaanza kuziheshimu hizi ligi mbili
-Ligi kuu ya misri na
-Ligi kuu ya south africa
Majamaa world cup wanatumia wachezaji wa ndani kwa 90% lakin wana ushindani unaoridhisha dhidi ya wachezaji wa ulaya na wamefuzu kabisa round inayofuata☑️