ChatGPT ni tool nzuri sana, ukiitumia vizuri inaweza kukusaidia kupata kazi/dream job yako.
Tatizo ni kwamba wengi hawajui kuuliza maswali/prompt.
Leo nitakuelekeza namna ya kuuliza ili ikupe majibu yanayoweza kukupa kazi.
Kazi yako ni ku-copy na ku-paste tu.
Fungua uzi ๐
Kama Mama yako mzazi bado yupo hai, Mungu aendelee kumbariki maisha marefu ili aweze kushuhudia mafanikio ambayo kila siku anatamani kuyaona, Amen ๐
@Wakazi Me wajob nmemjulia twitter na najua ni content creator kama @nyuki_malkia kweny game ya mziki kaingia lin? Ataje nyimbo zake kwanza labda anakitu asikilizwe