Mtaani Gengeni wakati vitu vyote vimepanda bei mara mchele sijui 5k kwa kg, huyu Mama hakupandisha hata bei watu wananua mchele kwa bei ile ile 2500
Nikamchokoza mbona wewe hupandishi akasema kwanini nifanye hivyo, watu wapo kwenye shida wewe unapandisha bei Mungu hapendi 🙌🏿 Huyu nitanunua sana vitu kwake 🚶🏻♀️
@TitoMagoti Hakuna kusalimiana na mbogamboga ,hakuna kumpangisha mbogamboga, hakuna kuswalishwa na mbogamboga ,hakuna kusalishwa na mch au askofu mbogamboga ni kuwasusia tu kila kitu
Mauaji haya ni zaidi ya mauaji ya Sharpeville Massacre (1960) na Soweto Uprising (1976) huko South Africa wakati wa APARTHEID ukiyaweka yote pamoja!
Ukatili uliofanywa unazidi unyama wa MAKABURU…Mioyo ya Watanzania inavuja damu, kwetu MBEYA na NYASA kila eneo ni MISIBA! 😭😭
Kwa watanzania wote hasa waliokufa wakitetea nchi yao, Mwenyezi Mungu awape Pumziko la Amani na wagonjwa, majeruhi wote tunawaombea mpate hafueni mapema.
Mko katika Maombi Yetu🙏❤️Ayubu 1:21.
@MarekaMalili Tufaham kwanini zungu amejitokeza wakati huu, sio kwa bahati mbaya anasemaga yeye ni mtaalam wa kuhamisha mada nadhani ndio anachofanya wakati huu
The movement is thriving
@TunduALissu stood firm when many didn’t understand!
Alijitoa mhanga akaweka mguu chini akasema “#NoReformsNoElection ndo njia pekee !”
Leo yupo gerezani na kesi feki ya uhaini ila harakati imechangamka!
Mbeba maono!
Sambaza ujumbe
#NoReformsNoElection