@EJ_Mwita Hizi ni Kampeni za mwaka uliopita. Na Donation za Kamara Haris( Democratic). GSM kachangia bilioni 10. Sawa na Dola 4,000,000 (4M). Yani GSM angekuwa namba 2 hapo. Anautajiri gani wa kuwashinda Microsoft, Meta, Amazon, Apple!!! Something Fishy!!!
#UZI
💨 RAM 4GB vs 6GB vs 8GB – Kuna Tofauti Gani Kwenye Matumizi ya Kila Siku?
RAM siyo tu namba ya kujivunia kwenye box la simu
bali ndiyo inayoamua kama utachanganyikiwa na app kufunguka upya kila mara… au utabaki smooth kama iPhone 15.
Twende kazi 📲🧵👇
🚨 Cristiano Ronaldo: “Of course I have affection for Leo Messi. We've been on stage together for 15 years”.
“I remember translating English for him at the Galas because he didn't speak English well. He always treated me well and respected me”, reports @Alfremartinezz.
4 years of full-time trading.
2 years of losses, doubt, and near burnout.
Then 2 years of profits, impact, and life-changing wins for me, my family, and thousands online.
5th car in 2 years 🫶🏽
Ikiwa mpaka leo Bado una Deposit $10, 20, 30-50-100 unaweza kufanya Hivi ili uvuke hiyo stage na utafika wakati una Deposit $1000+. Nilipita huku.
1. Focus kwenye kukuza Bank account kwanza (Trade to withdraw) kabla ya Trading account: Kama uko Skilled, let's say ume Deposit $100 ili uwe na Risk Management nzuri tumia 0.03, SL isizidi Pips 15 (Maximum Loss ni $4.5) tafuta Entry ya uhakika (Higher Probability setups, zipo ila zinahitaji Subira yako) Ya Pips kuanzia 100-300+. Uki loose 2 trades over 5 trades unakuwa umepoteza $9. Ukiwin 3 trades over 5 unakuwa ume win $90 per week.
Minimum wiki ikikubariki $90 kwa mwezi ni $360 (970K).
Kwenye hiyo $360 (ya mwezi), Chukua hiyo $60 fanya kama ume cover Loses zote (sawa na umepoteza $15 kwa wiki ambapo kwa Risk Management yako umeweka Bonus ya kupoteza 3trades out of 5 kila wiki).
Chukua $150 (400K) Deposit jumlisha na ile $100 inakuwa 250$ (Capital). Usibadili Risk management plan, bali BORESHA LOTSIZE. Tumia 0.06.
So u'll be winning $60 per 1 trade (100 Pips) na ku loose $9 per 1 Trade so kwa wiki uki win 3 trades unakuwa ume win $180 (480K) na uki loose 2 trades ume loose $18 per two trades na $27 ikiwa uta Loose 3trades.
So unaweza win two trades ($120) uka Loose 3 ($27) au uka win 3 ($180) uka Loose 2 trades ($18).
Wiki ikikubariki $180 (3trades winning) mwezi ni $720 (1.94M). Chukua $110 fanya kama ume cover all loses (Bonus Loses).
Unabaki na $610. Chukua $250 Ongeza kwenye ile 250 unakuwa na Capital ya $500. Unabaki na Balance ya $ 360 (970K). Ishi maisha yako.
Mtaji wa $500 unatumia Lot ya 0.1 uta loose $15 per 1 trade, uta win $100. Uki loose 3 kwa wiki una Loose $45 una win $200 uki win 3 trades ume win $300. Endelea ku update Trading plan yako kila Mwezi. BORESHA LOTSIZE yako (Kimkakati) ili bank account yako iboreke.
NB: Kabla ya kuanza na ku Focus na Bank account yako, anza na KU FOCUS KUWA NA SKILLS KWANZA. Yote niliyo andika ni NOTHING kama huna Skills na Nidhamu. Niliyo andika hapo juu yana Maana kwa mtu mwenye ujuzi sokoni. Wekeza pesa, Muda na akili yako kwanza kwenye knowledge. Kisha KUZA ACCOUNT YAKO YA BANK.
Wasalaam....
#CertifiedProScalper
How i made $3.5K today kwa ku Trade (Scalping) Gold Countertrend.
Leo nimewawekea Video hapo na sauti jinsi ambavyo nilivyotake trade na Sababu zake, kwa wale wanaotaka Kujifunza.
#CertifiedScalper#XauusdKilled
Jifunze Web Development: 👇🏿
- Washa computer
- Fungua chrome
- Google "w3 schools HTML"
- Soma articles zake
- Fungua notepad (editor)
- Andika HTML code
- Save file kama index.html
- Fungua file lako kwenye browser
Hongera! Umefanikiwa kutengeneza webpage yako ya kwanza.
Tulitengeneza Team ya watu watatu. Tukakubaliana kujifunza Forex.
Ilikuwa tunakutana Jumamosi na Jumapili kujifunza pamoja, ikiwa siku za kawaida kila mtu anajifunza peke yake. Jumamosi tunapeana Majukumu mmoja anaambiwa aende akachimbe Liquidity kwa undani ndani ya wiki nzima, mwingine lets say anaenda Chimba Market Structure Tu, na mwingine kitu kingine. Tukikutana Jumamosi, kila mtu ana take seat na kutega sikio kumsikiliza mwingine akiwa anavunja Yai. It was the best learning plan iliyotujenga. We built our own ways. We are the mentors wa sisi wenyewe.
Now tumeparaganyika, kila mtu analifumua Soko kwa kadri anavyoweza✌.
Ikiwa safari yako ya Trading bado ni Ngumu, ANGALIA KAMA UNAWEZA KUBADILI CYCLE YAKO, UPATE WATU UTAKAOWEZA KURUKA NAO PAMOJA.
#UZI
💨FANYA MAMBO HAYA 5 UKIIBIWA SIMU
(Usisubiri hadi ukumbwe na janga – SAVE hii thread!)
1: Lock Simu Yako Remote
→ Ingia kwenye Google Find My Device au Apple iCloud Find
→ Chagua Lock Device
→ Weza pia kuandika ujumbe utakaotokea kwenye screen.