CW wanasema ndani ya siku 30 TAL aachiwe, mikutano ya kisiasa iruhusiwe na asasi za kiraia na media ziwe huru, waliohusika na mauaji wakamatwe na wawajibishwe na waathirika walipwe fidia! Na mengine mengi! Dunia huwa hailali unalala wewe, huwezi kuua mamia ikawa sawa tu!
#BREAKING: JUMUIYA YA MADOLA YAAMURU TANZANIA IMUACHIE LISSU NDANI YA SIKU 30
Jumuiya ya Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imeipa Serikali ya Tanzania muda wa siku 30 kumwachia huru mwenyekiti a Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) Tundu Lissu, kupitia njia ya kisiasa na kisheria.
Katika kikao chake cha 73 cha dharura, CMAG ilisisitiza kuwa “kuzuiliwa kwa Tundu Lissu lazima kutatuliwe, na wengine waliokamatwa kwa kutumia haki zao kwa amani waachiliwe.”
Kundi hilo limeonya kuwa kutotekeleza agizo hilo kutasababisha uchunguzi mkali zaidi wakati wa vikao vya Septemba na Novemba.
Mbali na kuachiliwa kwa Lissu, CMAG pia imeweka masharti mengine: kurejesha uhuru wa vyombo vya habari na majukwaa ya kidijitali ndani ya siku 60, na kuandaa jukwaa shirikishi la vyama vyote ndani ya siku 90.
Licha ya kutambua ushirikiano wa Tanzania na Mjumbe Maalum, Dkt. Lazarus Chakwera, CMAG Jumuiya hiyo imesema maendeleo ya mageuzi nchini humo yamekuwa madogo huku nafasi ya kiraia ikizidi kufungwa.
Kamati Kuu imeazimia kuwa CHADEMA iendelee kwa nguvu kubwa na operesheni ya Katiba Mpya #FreeTundu Lissu katika Kanda za Pwani, Unguja na Pemba na awamu nyingine, Operesheni itaendelea mikoa yote ya Tanzania." Mhe. @jjmnyika
🚨🇦🇷 Alejandro Garnacho, also open to leaving Chelsea as club prepares to sell him in case of permanent deal proposal.
AS Roma want Garnacho but on initial loan, Chelsea insist on permanent to open doors.
Garnacho would be keen on Roma move.
Rai kwa Viongozi wa Siasa: Badilikeni Kuendana na Kizazi cha Sasa.
Ni vyema wanasiasa mkatambua wajibu wenu wa kweli kwa jamii. Siasa za sasa hazihitaji figisu wala ghiliba, kwani kufanya hivyo ni kujiondoa wenyewe kwenye ushindani wa sasa kisiasa.
Siasa zenye misingi ya figisu na mbinu zisizo za uaminifu haziwezi kufanya kazi tena. Katika ulimwengu wa sasa wa habari, upatikanaji wa taarifa uko wazi kwa kila mtu, na mbinu zote hasi zinafahamika kwa muda mrefu. Ni muhimu kuachana na mifumo ya fitina na mivutano isiyo na tija.
Ikiwa michezo hii itaendelea, italeta taharuki isiyo ya lazima na hatutaogopa kupatua msaliti yeyote anayefanya kazi za kutuyumbisha. Maelezo yaliyotolewa hayajibu hoja na kiini cha mgogoro uliopo, ni maelezo ya msingi ya kikao na kiini cha tatizo wala sio mfumo na utaratibu mzuri uliopo na usimamizi wa fedha, Mgogoro uliopo ni wa kupimana mbavu na BLACKMAIL za kitoto na vitisho au kudogoshana na kashifa za kitoto, Kwa maana hiyo maelezo yote pamoja na kuwa sahihi, hayakujibu swali, yameacha maswali mengi yasiyo na majibu. Jamii ya sasa imelimika na inaelewa; muhimu kukomeshwa kwa fitina hizi ambazo kimsingi zimeshachosha umma.
KIONGOZI CHADEMA ATEKWA NA KUUAWA KWA KUKATWA NA MAPANGA!
Julius Mbalile Erick (pichani), alikuwa ni Katibu Mwenezi wa CHADEMA Kata ya Murongo Jimbo la Kyerwa mkoani Kagera. Kwa mujibu wa taarifa ya aliyekuwa Mbunge wa CHADEMA, Anatropia Theonest ambayo imetolewa leo, Julius Mbalile Erick alitekwa na kupotea katika mazingira ya kutatanisha.
Baada ya wanafamilia na wanachama wenzake kumtafuta alipatikana siku tatu baadaye akiwa ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga na kisha kutelekezwa.
Mauaji ya Julius Mbalile yanakuja katika kipindi hiki ambapo viongozi wengi na wanachama wa CHADEMA wakiwa wametekwa na wengine kukamatwa na Jeshi la Polisi huku wengine wakinyimwa dhamana katika vituo vya Polisi.
"Naomba niwahakikishe kwamba fedha tunazochangiwa, za Chama zipo salama na zinatumika kwa mujibu wa taratibu za kifedha, kwa maamuzi ya vikao na mapato na matumizi zinatolewa kwenye vikao vya Chama." Mhe. @jjmnyika
#TANZANIA: KAMATI KUU YA CHADEMA IMEITAKA SERIKALI KUSHUSHA BEI YA MAFUTA NA IDHIBITI UFISADI
Katibu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika leo Julai 10, 2026 akitoa maadhimio ya chama hicho amesema Kamati kuu ya CHADEMA imeitaka serikali kushusha bei ya mafuta ambayo ilipanda hivi karibuni kutokana na kushindwa kudhibiti ufisadi katika uagizaji wa mafuta na kushindwa kuweka ruzuku kwenye mafuta hayo.
Zaidi: https://t.co/egXIhg5U23
SAUTI ZA MAGAIDI ZIMEMFIKIA JOHN HECHE.
Baada ya maombi ya magaidi wa haki kutaka Mh. John Heche atoe namba ili waweze kumuokotesha maokoto, nimepata wasaa wa kuzungumza na Mh. Heche nimemueleza kuwa kuna comment zaidi ya elfu 5 wanataka utoe namba wakumwagie mapesa ya kigaidi.
Jambo la kheri ni kwamba HECHE ameona asitoe namba tu ila kutokana na umuhimu wenu kwenye mchango wa kupigania haki amesema anakuja na neno kwenu kwahiyo kaeni rada maelekezo yenu yamefanyiwa KAZI.
Huu ni mzuka wa kigaidi hatuwezi kusimangwa tukavumilia sasa tunaenda kuteka mifuko yote ya Tone Tone, nchi nzima itasimama kwa muda magaidi watafanya Doria kwenye mifuko yao.
Mwana FA, anazomewa huko. Wananchi wamekataa kutambua kile kinachoitwa Serikali ya Awamu ya Sita. Serikali halali ni ile inayopata ridhaa ya wananchi kupitia uchaguzi huru na wa haki
Mfanyabiashara Maarufu nchini Tanzania Nilesh Suchak amekanusha madai yanayoenezwa kuwa yeye alimpa Fedha Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @HecheJohn
Akizungumza katika Mahojiano na @mshambuliaji kwa njia ya Simu akiwa Afrika Kusini, Nilesh amesema hizo ni propaganda zinazoendeshwa na Mtu mmoja ambaye amesema ikilizamika atamtaja hadharani ili kukata Mzizi wa fitina.
#KitengeUpdates