Leo Mei 17, 2023, Waziri @Dr_DGwajima amemkabidhi Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Charles Msonde, pikipiki 85 kwa ajili ya Maafisa Maendeleo ya Jamii wa kata 85 nchini, kwenye Mikoa 21 na Halmashauri 47 Kwa lengo la kuongeza ufanisi wa majukumu ya Maafisa hao.
Ukiachana na mechi ya watani wa Kariakoo #KariakooDerby, ni Mechi gani nyingine Kali ya watani kwa hapa Tanzania umewahi kuishuhudia au unaifahamu.?
.
Taja hata #Derby za kitaani kwako wapwa wazijue.
Twende.