@ambwene_ Mheshimiwa sana waziri wangu Daktari @Dr_DGwajima najua wewe ni kati ya mawaziri very active na serious mnaohangaika na kero za watanzania bila kujali mmezipata kwa njia official ama la. Tafadhali sana hangaikeni na huu ujinga. Hatuwezi kuvumilia mtu kutwezwa