@surepombe Sa mbona hajatupua kanga moko๐๐๐ Mwanamaombi mwenzio huyo si dem wako๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ
@mwlsambu @CloudsMediaLive Ni kheri ulivyo kosa ajira ya ualimu coz kama umesoma na ukashindwa kuwekeza laki tano, je? watoto wa Tanzania ungeliwafundisha ni cha ziada ili kuwajengea uwezo chanya kando na masomo ya darasani.
@omari_manyama KAkili za wanasiasa wa kenya si za watanzania, usithubutu kulinhmganisa watu wanaofikiri kabla ya kutenda na wakurupukaji, wanasiasa wa tz wanakurupuka sana
@TanzaniaLeaks@HecheJohn Taratibu za chuo haziruhusu siasa wala makundi ya harakati zenye mlengo wa siasa, acheni propaganda ndo maana Afrika tunatumia muda mwingi sana kupiga hatua chache za maendeleo