@Lizzie36021 Unawaza walichobakiwa nacho? Unajua ahadi ya fedha waliyoahidiwa na Mfadhili "maandishi matatu" wakichukua ubingwa ni kiasi gani watapewa???
@Mirajimiraji175@INFLUENCERjr ๐ ๐ so reference yako ni Manara๐ ๐ sawa. Manara huyohuyo aliwaitaje Simba baada ya kuhamia Yanga? Aden Rage kipindi akiiongoza Simba aliwaitaje mashabiki wa Simba? Btw 5x champz. Yanga Afrika
@Mirajimiraji175@PansardTz53610@INFLUENCERjr Mpira wa bongo unaendelea kupitia hizo hizo mambo, standards zetu kivyetuvyetu... Simba waliroga mchana kweupe S.A. nje ya nchi kwenye mechi ya kimataifa. Ligi ya bongo namba ngapi kwa Afrika?
@PansardTz53610@INFLUENCERjr Sheria hiyo ukiitazama kwa kuziangalia simba, yanga au Azam pekee utaziona nyepesi, lkn ziangalie pia timu nyingine kama Pamba, Mashujaa n.k. utajua ukali wake maana hy Sheria haibagui.