Mambo ya msingi kwa vijana wanaopambana kwa mwaka huu ni haya:-
Kitakachokupa WATEJA wengi ni UAMINIFU wako
Kitakachoongeza THAMANI yako ni UBUNIFU wako
Kitakachofanya UPENDWE na wateja ni LUGHA yako
Kitakachofanya UDUMU katika biashara yako ni NIDHAMU
Kitakachofanya Biashara yako IPANUKE ni BIDII yako.
Kitakachokupa nguvu ya KUSIMAMIA Biashara yako ni AFYA yako.
Kitakachokupa NAFASI ya kuonekana katikati ya wengi ni UNADHIFU wako.
Lakini, Yote hayo bila Neema ya Mungu HUTOBOI
@sajo_mwaihabi “Looking to fly without the hassle? ✈️ Safarilinks Africa Travel & Tours specializes in finding the best flight deals and ensuring smooth, stress-free bookings for all your travel needs. Book your next flight with us! Contact us at +255 717 333 231 and start your journey right.”
Ninamshukuru sana Mungu ambae amewatumia watoto wake hawa waimbaji kufanyika baraka katika maisha yetu.
Kwa mwaka huu 2024 hizi ni baadhi ya nyimbo zilizonibariki sana, nina imani na wewe zitakubariki.
Ninawapongeza sana kwa huduma njema, na ninazidi kuwaombea ili mwaka 2025 Mungu aweze kuwatumia zaidi kuhudumia maisha yetu kupitia uimbaji