@IamGabby_01 Uganda alipigwa VIKWAZO VYA KIUCHUMI vya maana mpaka kanyoosha mikono hata uganda wapo sema kwakua hatufatilii tu ishu za UGANDA. Alitunga sheria kaliii bungeni sa hivi zimebaki kwenye makaratasi hazina utekelezaji
@balozi123 Tatizo ni mfumo wa elimu zamani kulikuwa na mchujo wa maana mtu anaanza form one ni yule ambae anataka shule sio siku hizi mfumo unabeba mpaka makapi🙌🏿