Zimekuja zingine 5 Tu grade AA++ generation ya 11๐ฅ
Machine ya kishua haswaa, 11th generation bei kitonga mnoโฆ
DELL VOSTRO 5301โ
CORE' i5โ
SSD 256GBโ
RAM 8GBโ
11TH GENโ
Kioo inch 13โ
Very slim with all portsโ
600,000/= Tu๐
๐ฑ: 0614413775 normal .
Kuna bibi kizee Mmoja anamiaka kama 60 ivi yule Mzee nyege balaa akiniona tu utasikia njoo mara hivi mara vile ,mara chukua chakula ule yaan imekuwa too much ,wanangu nipige au niachane na mikosi.
#TajiriLaKihaya
Nlichokiona leo Barbershopโฆ.
Itoshe kusema kama una dem yako anafanya kazi hukoโฆ
ACHANA nae sasa hiviโฆ.bila sababu yoyote ya msingi๐
Wanaume atupendi kuwa na wanawake wengi ila shida yenu dada zetu mizinga kila kukicha tulipe upatu sio mchezo tulipe vocha tulipe saloon makorokoro kibao bora iwe eat and run
Ulishawai kupanga nyumba sehemu ukakutana na braza wa makamo yeye unaambiwa ni mtu wa kusafiri anakuja gheto mara mojamoja sana,
Huyo mpangaji basi ni mtu mwenye familia na nyumba yake, uwa mara nyingi wanapangaga gheto ili kijipumzisha na stress za wife na wanakwepa gesti.