JE UNAPENDA KUFUGA SAMAKI ? KUNA VITU MUHIMU KUZINGATIA KABLA NA BAADA YA KUANZA KUFUGA SAMAKI.
Ufugaji samaki ni moja ya chanzo cha mapato kwa taifa na jamii kwa ujumla kwa kuwa usaidia jamii kujiajiri na kujiingizia kipato kila siku
@baynit1999@AM_NIC3 Home tunafuga ila wiki moja inatosha kwa ajili ya joto kali maana wakianza kukua uhitaji wa joto unakuwa mchache labda wakati wa baridi
@mmeruwaArusha@Masstown_@realDonaldTrump Donald Trump ameshika nafasi ya urais mara mbili 45th na 47, endapo mtu akitaka kujua idadi ya Marais walioongoza marekani Trump atahesabika mara moja au mara mbili kwenye idadi ya Marais walioongoza nchi