@ChademaMdude@freemanmbowetz@TunduALissu Hongera sana makamanda wetu naamini kuchaguliwa kwenu ni ishara nzuri kwa chadema yetu na wanaharakati wote na wapenda democrasia nchini sasa ni mda muafaka wa kukijenga chama chetu cha chadema kuanzia shina hadi taifa nasisi wanachama tutawapa ushirikiano wetu wa dhati
@MwananchiNews Sasa ndo nazidi kuelewa kuwa chadema sasa nitishio kwa utawala huu dhalimu kama bendera zinawapa presha vp kuhusu wenye bendera kila mwanachadema alipo ajione shujaa maana bendera yetu inawapa presha watawala hadi wanaamua kutumia nguvu ya dola peoplessssssss
@MwananchiNews Kama mimi ningekua nimemteuwa huyo mkurugenzi sahivi angekua Hana kazi..hawezi akaanza kushughulika na bendera wakati walipa kodi wanaangamia kwa mafuriko....
@swahilitimes Hasara kubwa kuminya demokrasia ndo hiyo nadhani angekuwa Omar Bashri ameruhusu democrasia ya kweli asingefika huko aliko maana watawala wengi wanadhani wakiwa na demokrasia huru ndo watapoteza mvuto kwa wananchi hivyo hujiwekea wigo hatimae wanakuwa madekitaita kwelli acha asote
@fikishajumbe Hapana Mke wangu aende mwenyewe sijakosana na house girl Mke wangu aondoke na house girl aondoke hapo nani atanipikia ,atanifulia,atanitandikia kitanda? Mke wangu alimleta house girl kumsaidia kazi kwahiyo kama yy ameamua kuondoka basi amuache house girl aendelee na majukumu yake

@Jovinkahangwa Nijikite kwenye maswali yako yote mawili 1. Ndoa nyingi za kisomi hazidumu kwa sababu wote wanajiona wa thamani kuliko mwenzie.2. Wasomi wengi huwa na mipango mingi kuliko uwezo wao hususani wasomi wanawake huwa na matamanio makubwa kuliko uwezo wao na pia hushindwa kuheshimiana