@blaque_carter@lwaitama1@mdudenyagali Tofauti mtu anakuja kuua familia manake ni mhalifu, sasa hao ndiyo wamebeba sheria, na yamkini walikuwa wanamtafutia sababu ya kumtia hatiani na gerezani kwa kuwazuia kufanya kazi yao. Hata huyo labda wangemwacha maana wamepata samaki mkubwa zaidi kwao ingekua sifa.
@blaque_carter@lwaitama1@mdudenyagali Ungekuwa weee au yoyote unae mfahamu angefanya nini kama mtu anachukuliwa na polisi mbele yako. ???
Mambo mengi mbowe anaonewa. Na mnaona haongei kakaa kimya ili mje mpate majibu wenyewe.
Kwa alipo kitoa chama mpaka hapo kwakweli mpeni heshima yake inatosha.
@HabiibYahyaa Lebanon wana waka moto huko , wenzenu hawabahatishi, wanapiga target na wanaua kiongozi, iran wanarusha vimondo na kelele nyingiii. Mnafukuliwa kwenye mashimo mnauawa, mpaka sasa khamenei hajulikani kafa au mzima haonekani. Kafukia huko
لقد أدهشت إسرائيل إيران اليوم بإطلاق صواريخ بالستية محملة على متن طائرات إف 35 والتي يستحيل اعتراضها وتُعتبر أكثر دقة وسرعة ورقي من أحدث الصواريخ الإيرانية الفرط صوتية والانشطارية. لذا سارع النظام الإيراني إلى طلب وقف إطلاق النار من الرئيس ترامب وأمر حزبالة بوقف عدوانه.