@chapanombombwi Hadai Maendeleo anataka mabadiliko ya Uchaguzi ili na yeye apate pa kula kama Ubunge.. Pumbavu sana Muha huyu.. Anawaza Tumbo tuuuuuu.. Mbona hadai huko kwa mababu zake Burundi? Akalime Kenge huyu hata shule alidrop kwa ujinga wa kutaka makubwa asiyoyaweza...
@SiasaMaisha2030@SuluhuSamia@tanpol@ikulumawasliano@MsigwaGerson Nani atasikiliza huyu malaya anyejiuza Japan? Abafanya Umalaya anashindwa kumnunulia mamake viatu ana Nguo au hata Sababu ya kuogea.. mama kachafuka miguu kama Panya Buku na mtoto anakjiuza japan na kukenua medomo mitandaoni? Pumbavu Sana.. Hili paka jike..
@zoetjesheeftX October 29 kulikuwa na Vurugu/Violence za kupabgwa na Sio mauwaji..Sisi ytuaangalia Chanzo na sio matokeo.. october 29 ilikuwa ni siku ya Kupiga Kura na sio siku ya mauwaji..Walikufa walijitakia maana kila mtu alimbiwa akapige kura arudi nyumbani au Asiende kupiga kura akae Kwake
Singapore’s President Tharman Shanmugaratnam’s state visit highlights the power of partnership. Tanzania stands to gain advanced skills training and investment that will drive sustainable economic progress.
#SingaporeTZRelations#45YearsOfFriendship#TanzaniaInasongaMbele
President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, speaks to RT during her official visit to Russia about strengthening Tanzania–Russia cooperation, expanding trade and investment, advancing technological innovation, improving educational partnerships, boosting tourism through direct flights, and fostering mutually beneficial international relations.
Mwaka huu Tanzania na Singapore tunaadhimisha miaka 45 ya uhusiano wetu ambapo kwa upekee leo tumempokea Rais wa Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, Ikulu jijini Dar es Salaam. Hii ni historia na heshima kwa nchi yetu kwani ni mara ya kwanza Rais wa nchi hiyo kutembelea Tanzania, hatua inayodhihirisha dhamira yetu ya kukuza ushirikiano kwa manufaa ya nchi zetu na watu wake.
Baada ya mazungumzo yetu, tumeshuhudia utiaji saini mkataba na hati nne za makubaliano zinazolenga kufungua fursa mpya katika biashara, uwekezaji, kuwezesha vijana kupitia elimu ya ujasiriamali, ujuzi na ubunifu hasa katika uchumi wa kidijitali. Aidha, tumekubaliana kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo sambamba na kuanzisha mfumo wa pamoja wa mashauriano utakaosaidia kuratibu utekelezaji wa makubaliano yetu na kushughulikia changamoto kwa ufanisi na kwa wakati.
Katika hatua nyingine, nimeikaribisha Singapore kufungua ubalozi wake nchini ili kurahisisha utekelezaji wa makubaliano haya na kuimarisha zaidi uhusiano wetu.