Leo kuna ukunga!
Naam!
Wapiga ukunga wanatoa milio ya hovyo kama subwoofer mbovu ya Sunda inaposema “Line in”
Wanapiga ukunga wakitaka tushiriki kilio chao. Eti Rita Kanjambile au maarufu kama Ritha Paulsen kawatukana.
Yaani kitendo kidogo tu cha Kanjambile kuwaita “Media Uchwara” wameshikwa na maumivu kama mtu aliyegongewa demu wake na sharp boys ambao wamemsambazia High voltage electricity kutoka transformer lisilojulikana.
Naam!
Demu wao ambaye ni mwananchi wanayemlisha udaku,na kumyima habari za maana.
Ndugu za demu wao walipotekwa, Media uchwara zilimkaushia.
Ndugu za demu wao walipouwawa kinyama na miili yao kutopatikana kwa maziko, media uchwara zilikuwa zinatangaza habari za shoga Mr. T linaloliwa Sundus.
Ndugu wa demu wao walipopewa kesi feki za kisiasa, media uchwara zikamwambia demu wao habari kuwa ukishikwa bega unaweza kupoteza Mugombero, the turbo charger.
Leo Rita Kanjambile Geigeige, anapowaita uchwara, wanataka kuungana na kuandamana.
Wanataka kutuhamasisha na sisi tuandamane kuwaunga mkono, tulie nao na kukinukisha. Uhaini huu.
Inye cheiiii,
Kalia mpali!
Umeona inavyouma eee??
Sasa hayo ndio maumivu ya dhuluma!!
Hayo ndio maumivu anayopata mtu anayenyimwa haki!!
Imagine hiyo ni haki kwenye mpira tu inauma hivyo!!
Sisi tunaonnyimwa haki za kuishi tunaumia vipi!??
KUELEKEA OKTOBA 29, HUYU NDO ANAONGOZA GENGE LA KUTEKA WATU.
Huyu kwenye picha anaitwa Thobias Mwesiga ni Mkuu wa Dawati la Siasa TISS, yupo Ikulu.
Kesi zote ambazo CHADEMA tumebambikwa ikiwemo kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu, kesi ya mgawanyo wa Mali za Chadema na hii kesi waliyofungua juzi kutaka Mhe. Heche, Mhe. Mnyika, Mwaipaya, mimi na Bodi ya dhamani tukamatwe na kuwekwa ndani mpishi wa kesi zote hizo ni huyu Thobias Mwesiga na wenzake.
Kama mtakumbuka juzi kati Balozi Polepole alisema kwamba mtoto wa Idd Amin Mama, Abdul anamiliki kikundi cha watu ambao wamebatizwa jina la Watu wasiojulikana ambao wanafanyakazi ya kuteka na kupoteza watu.
Mmoja ati ya watu ambao Abdul anashirikiana nao ni pamoja na huyu Thobias Mwesiga pamoja na Katibu wa Rais yani Idd Amin Mama nadhan kuanzia sasa tusiwaite watu wasiojulikana badala yake tuwatambue kama Vijana wa Thobias Mwesiga na Abdul.
Matukio yote ya Utekaji wa Wananchama na Viongozi wa Chadema pamoja na Wanaharakati wasiokuwa na vyama ambayo yanaendelea kila kona ya Tanzania sasa hivi, huyu Thobias Mwesiga na Abdul ndo wapo nyuma ya matukio yote hayo.
Thobias Mwesiga ndo Mratibu wa Mkakati wa kuteka na kupoteza watu kuelekea Oktoba 29 na amefanikiwa kumuaminisha Idd Amini Mama kwamba kuteka na kupoteza watu wengi kabla ya Oktoba 29 kutafanya watu wengine warudi nyuma.
Sasa nisikilize wewe Thobias na wenzako kama mnadhani kututeka na kutupoteza ndo kutafanya watu waogope kuandamana basi mnajidanganya big time maana mahali nchi yetu ilipofika sasa hakuna kitu ambacho kinaweza kuzuiwa Maandamano ya Wananchi Oktoba 29, hii nchi imevimba na mnavoendelea kututeka ndo mnazidi kuchochea hasira za wananchi dhidi ya Serikali.
Kama mngekuwa na akili timamu mlipaswa kujiuliza tangu muanze haya mambo yenu ya kuteka na kupoteza watu, Je yamefanikiwa kuwafanya Watanzania waogope kukosoa Serikali au ndo imekua chachu ya kuzalisha Wanaharakati na wakosoaji wengi zaidi?
Jibu litakuwa ni kwamba wamezaliwa Wanaharakati wengi zaidi ya ilivokuwa hata wakati wa Magufuli yani kwa lugha nyepesi ni kwamba Idd Amini Mama ndo kazidi kuchukiwa na Wananchi maana tangu aingie madaraka mpaka sasa watu zaidi ya 260 wametekwa na kupotezwa hii haijawai kutokea kabisa katika Historia ya nchi yetu ni mara ya kwanza.
Jambo ambalo naweza kukwambia siku ya leo ni kwamba huyo Seleman Mombo, Boss wako ambae anakutuma kufanya huu unyama ili mumufurahishe Abdul na Idd Amin Mama yeye yuko na miaka 60+ lakin wewe ni kijana na unakesho nyingi hizi damu za watu ulizomwaga na unazoendelea kumwaga ipo siku ambayo haina jina utazilipia, kama sio wewe basi watakuja kulipia hata watoto wako maana Karma haijawai kumuacha mtu salama ni swala la muda tu.
Huyu Idd Amin Mama ambae mnafanya yote haya ili kumfurahisha yeye tayari anakinga ya kutoshtakiwa lakini wewe hauna hiyo Kinga so hakuna namna utakwepa huu msalaba na uzuri ni kwamba jinai huwa haiozi.
Hao Vijana uliwapa pesa na magari wiki iliyopita, kisha ukawatawanya kila Mkoa ili wafanyekazi ya kuteka Viongozi na Wanachama wa CHADEMA na Wanaharakati ili kutisha watu waogope kupush issue ya maandamano ya Oktoba 29 wambie waache mara moja na muwarudishe Ndugu zetu wote ambao mmewateka la sivyo tutahamia hapo kwenye makazi yako ili utuuwe mbele ya mke na watoto wako.
Nadhani itakuwa vema mkeo ajue ni aina gani ya mume aliyemuoa na watoto wako wajue aina ya Baba ambae wanae maana inawezekana hawajui kama wewe ni muuaji.
Tumechoka kuwindwa kama vitoweo,
Tumechoka kuishi kama Wakimbikizi wenye hofu na mashaka ndani ya nchi aliyotupa Mungu,
Tumechoka kushuhudia matukio ya watu kutekwa na kupotezwa.
Sasa lazima haya mambo yafike mwisho.
TUTAKUWEPO🫵😎