Hukiw nawashikaji Kuna Aina ya nyimbo or artist huwezi skiza mfano play ngoma la kike utaskia" ivi mwanangu uko siriasi au ivi sisi niwakuskia zuchu,nandy,na ngoma yote ile ya kumizwa kimapenz hukiweka tu utaskia" mwanangu mapenzi yatakuhua kenge ww"ony vibe song we go 🤣🤣🤣🤣
Kua nawashikaji wavigugumizi shida sana juzi nimeeenda na mwanangu donni kwa demu wangu mzungu ile ana jielezea kama ivi " llllllll aaaam l am donni frrrrrom fro from kansass kansas city..." acha mzungu wawatu acheke khaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna huyu mwimbaji anaitwa jems yanguvu wa nyimbo za gospel ukiewekewa nyimbo yake kwa tv aaaf wamuted sauti then wakulize hii niaina gani ya nyimbo lazim huseme familia yawakina werasson tu hawa maana zile dance daah...😂😂😂😂
Daaa last night ndotoni tu "niko mitaa flani tu nakosa pakulala Mraapaa nikaskia sauti ya hiii ngoma ya bony mwaitege"vyumba vipo humeoa kama ujaoa kaka msamaani hapa hatupangishi vyumba vyambao hawaja hoa" kustuka ndotoni🤔😂😂😂🚶🏿♂️