It’s POSSIBLE to build wealth from NOTHING.
It starts with changing your mindset:
-Be willing to make sacrifices to get there.
-Put off instant gratification.
-Be wise with MONEY.
-Live below your means.
-Spend less than your earn.
-INVEST.
Building wealth is for EVERYONE.
@WiliamAndason Kwasasa elimu haikusaidii kupata ajira, connection na network ndo the best. Hata ukiwa na form four, unajielewa,connection, na network nzuri unaajiriwa unapigwa training twende kazi
@EsirEid Unashindana na watu wanaolalamika kila kitu, kila wakikosea wanatafuta comfort zone, mara GSM anaharibu mpira wetu, mara tumeenda KAGAME kufanya mazoezi,mara tulikuwa hatumtaki, mara jezi, ni kama hawajui wanalotaka, wataendelea kuchezewa na viongozi wao hadi akili ziwarudi
@SelaSela197@benleonardpasca@hecenmo Adolph si mbaya ila huwezi kumjudge kwa game moja,hiyo hype anayopewa inapaishwa pia na content creators,mpira una mambo mengi, amecheza mashindano gani,mpinzani gani na approach ya game ilikuwaje? Depu aliimbwa sana game za mwanzo leo amna anayemtaka,wabongo tusipende kujimaliza
@SelaSela197@DaudFelisian@benleonardpasca@hecenmo Si kweli, kule quality ya mchezaji mmoja mmoja ipo juu, ushindani ndani na nje ya uwanja, uwekezaji, mishahara, intensity na marefa, kule wanajali zaidi professionalism, angalia timu za kawaida tuu huwezi fananisha na akina dodoma mchezaji bora tanzania mamelod hachezi
@EsirEid Afadhali umesema, huyu anaoffer vitu vingi kuanzia branding, uzoefu na matokeo chanya uwanjani, ligi ya bongo mtu hata akiwa na miaka 35 kama anajitunza anakiwasha vizuri tuu
@benleonardpasca@hecenmo Maoni ni mazuri, ila level yake kwa bongo ni kubwa, alikuwa star Africa, kutokupata namba mamelod angalia anashindana na nani, pili ameshaprove na ana miaka miwili mbele ya kucheza. SA wapo mbele sana zaidi yetu, Tz Chama ana 35 bado anaubonda, mastaa wetu mamelodi wanacheza?
@YoungAfricansSC Mapovu mengi huku ni ya makolo, striker Bora sana huyu kwa bara letu la Africa, haitaji nafasi nyingi kuscore, kwa uzoefu wake atasaidia sana team kimataifa
@YoungAfricansSC Sajili siyo mbaya ila kiukweli tunashuka kiuweledi kama timu. Wachezaji wote hawa umri umesogea na walishafika peak ya mafanikio yao, lengo mama ilikuwa caf ila sijui kama watatufikisha tunapostahili coz wapinzani kimataifa hawachekeshi kwenye usajili. Kuna mahali tunakwama
@Start_WithG@singidabssc Ameisaidia yanga au amejisaidia mwenyewe, imagine yanga amebeba ubingwa mara 5 mfululizo ungekuwa wa confederation mpaka uzoeleke huko,anyways siwezi mabishano yasiyo na hoja,kitu pekee nilichotaka ujue mwenye mafanikio CAF ni yule alobeba ndoo wengine wote wasindikizaji, I'm out
@mnazi36 Waliowahi kumiliki kampuni hawashangai kitu kama hicho, wengine Wana madeni makubwa TRA wanafreeze kampuni au kufunga kabisa na kufungua nyingine ikiwa na jina tofauti
@Start_WithG@singidabssc Robo fainali ndo kombe gani hilo Arif, hakuna kikombe cha kushindwa mafanikio ni makombe kaka, Bingwa mara nne kwenye ligi ambayo yanga ameidominate kwa kuchukua makombe mengi since kuanzishwa kwake huwezi kuongea kama mafanikio kwako
@privaldinho happy birthday brother. Narudi kwenye mjadala wako nilikuelewesha ukakaza kichwa. Leo tuliboss mchezo, matokeo yalikuwaje? Uliongelea assumption za game, mechi ya leo kwa coach mwingine uliassume matokeo gani tofauti na kwa Pedro? Kuna improvement yeyote labda?
@privaldinho Tukubaliane kitu kimoja brother, kila mechi ina gameplan yake kulingana na timu unayocheza nayo, hata Arsenal haboss michezo yote, rudi kwenye match za champions league hata baadhi za EPL, Mpira unachezwa kwa mahesabu makubwa kk najua we ni mtu wa mpira unaelewa,
@shaks_prince Ametumika kama toilet paper, mdada alikuwa nae kwasababu hakuwa na kimbilio kwa wakati huo, mind you huyo jamaa asingekuwa na hela huyo dada asingemkubali na ndio wadada wamjini walivyo sasa, anakupenda kwasababu ameona kitu kwako so mwanaume ishi kwa tahadhari muda wote