#inspirational#Inspire You can create possibilities by looking beyond what you think is available, and create more connection by focusing on what you can offer.
Dear bro,
In the middle of chasing your next goals,
Remember this:
You might already be living in a life
you once prayed for.
Don't forget to be grateful while you're grinding.
Bro kama huna mtu wa kumuambia yanayokupa msongo wa mawazo, muambie hata Mungu mara kwa mara tena kwa sauti kabisa, inasaidia. Tunajikaza sana, tunasema “ndo uanaume” ila moyo hauna jinsia. Kichwa cha familia kuwa na afya ya akili inayumba ni kama kuomba ndege ikushushie njiani.
Overthinking is the biggest waste of human energy. Trust yourself, make a decision, and gain more experience. There is no such thing as perfect . You cannot think your way into perfection , just take action .
Kuna tofauti ya marafiki na watu mnaofahamiana. Ukiniona na watu haimaanishi ni marafiki zangu inawezekana tunaongea tu kama binadamu. Rafiki ni title kubwa sana mtu kuibeba
Try as Much as Possible Kujua Dhamani Ya Mtu Ambaye Anakuthamini Kwasababu Ipo Siku Unaweza Kusema Kuna Watu Wamemlisha Maneno Ili Asikupe Thamani Tenaa Kumbe ni Matendo Yako Tu Ndio Yamebadilisha Kila Kitu.
Msituwekee miba kwenye njia zetu za riziki sababu tukishindwa Kufikia malengo Yetu hamtoweza kubeba maumivu ya ambao wanatutegemea Huko tulikotoka.
Tuacheni tuendelee na safari zetu za mapambano ya kutafta riziki Kwa jasho letu maana sisi kwetu Kila mechi ni mechi ya ugenini.