A dedicated Community Development Officer(CDO) At JBM Materials a premier general supply company facilitating partnership with BARRICK NM
Dodoma,Tanzania 🇹🇿
Wanaweza kukufanyia mizengwe kazini ili upoteze kazi ambayo unatumia kulisha familia yako, wanaweza kukufanya nongwa kwenye biashara yako ili usifanikiwe bila kujali una mikopo Benki na kuna familia inakutegemea, halafu watakuja kwako kwa sura ya wema kuuliza kwanini umeyumba Kiuchumi, waambie tu Mwenyezi Mungu ndie anayefahamu zaidi, hiyo inatosha zaidi.
Ewe Mwana wa Adamu na Uzao wa Hawa, kuna vitu viwili vikubwa kwenye hii dunia ambavyo unapaswa kuviamini, amini kuwa maombi na sala yani ukaribu na Mungu wako una maana kubwa sana ndani ya zama hizi ambazo Choo kidogo ni Mtaji, Miili ndio biashara na Utu upo rehani, Waganga ni Mamilionea, kaza kwenye sala na Duah, meza zetu atatupindulia Mwenyezi Mungu.
Ndugu zangu nawasihi, usinywe wala kunywa sehemu ambapo huchangii maana Watu wanaongea sana niamini Mimi, wanatusema sana zingatia hilo, mara mia tubaki na njaa zetu kuliko kupokea mlo na hisani kutoka kwa Watu ambao wanahesabia, hayo matatizo yako hakikisha unamshirikisha Mungu, yeye harecord mazungumzo yenu na hascreenshot shida zako, Keep your dignity, Earn your spot, silence their mouth before they open it.
MWANANGU hata kama hicho unachokifanya kutoboa ni 1% pekee wewe chagua kupambania mpaka hatua ya mwisho kwa 99% amini Jitihada zinazidi kudra, tambaa, kimbia, lia, ila usiache tafadhali usiache, kama bado kuna pumzi kwenye mapafu yetu basi pigania, sio kwamba ni rahisi bali Washindi hawachangulii mkeka, Washindi wanatengeneza Mkeka na wanaondoka na ushindi.
Watazame Baba na Mama yako, wanatamani kukupigia simu kukuomba pesa, katazame kaburi la Baba na Mama yako angalau yajengwe kwa matofari, geuka tazama nyuma hao Wazazi wako iwe hasira kwako ya kufanikiwa, siku moja huo ukurasa wa machozi utapinduka, siku moja wimbo wa ushindi utaimbwa na utatazama nyuma na kusema Mama I Made it, Baba i hope you’re Proud!
Tuwe na Nidhamu kwa levo zote, ukifanikiwa usicheke Watu kwakuwa tumeishi kuona Watu wakiwa wale ambao waliwacheka, maisha haya tumepanda Bus moja ila tumelipa nauli tofauti lakini amini Dereva ni Mungu, amini Mvulana huzaliwa ila Mwanaume huumbwa kutokana na matatizo, dharau na kukataliwa, kufeli na kupoteza, LEO TENA🫡
VISIT MOROGORO🇹🇿
@grok Hey @grok summarize this article into one page
"Challenges Facing Single Mothers in Supporting their Adolescent"
Children: A Case of Dodoma, Tanzania
Keywords: Adolescents; single mothers; psychological challenges; economic challenges; social challenges;
cultural challenges
From Ruben Amorim calling Amad, to Pep looking back, a City fan covering his eyes, and Gvardiol trying to block it, everything around Amad Diallo's goal against Man City was simply brilliant.