@BracuszCadabra Mada mnaanzisha wenyewe wachambuzi au watoa taarifa zenu ambazo hazina mwisho mnapoona kuwa hazina ukweli mnakuja kusema hapa dili limebuma. Subirini klabu iwape tarifa za uhakika badala ya kuwa kama waganga wa kienyeji.
@Mzeewajambia@abissay_stephen Tunawachumbazi wa ovyo sana kama wanashindwa kuchambua mpira kwa kuangalia na factors zungine. Umewahi kujiuliza ratiba hii ya Yanga timu nyingine kwa hapa Tanzania iliwahi kuwa nayo? Hata hiyo timu yako ambayo unaipenda haijawahi kuwa na ratba ya namna hii hata ilipokuwa bora.
@shaffihdauda1 Kama ni hivyo kwanini Refa hakumaliza mpira? Timu inakuwa na wachezaji 11 Mane alikuwa bado uwanjani hii inamaana timu hakuondoka uwanjani. Kiufupi CAF wamepuyanga.
@Mzeewajambia Wewe unajua Kifaransa au kiarabu hadi useme hawakuripoti? Ni watu wangapi wa nchi ya Morocco umewafollow hadi ukaamini kweli hawa kuripoti chochote? Pengine hukujua walichoandika ndiyo maana ukasema hawajaripoti.
@Mzeewajambia Wewe unajua Kifaransa au kiarabu hadi useme hawakuripoti? Ni watu wangapi wa nchi ya Morocco umewafollow hadi ukaamini kweli hawa kuripoti chochote? Pengine hukujua walichoandika ndiyo maana ukasema hawajaripoti.
@DannyAggy Wanapanga tarehe ya mechi report ya uchunguzi imetoka? Je waliohusika kuhairishwa kwa mechi awali wameadhibiwa? Waambie watoe uchunguzi wa awali kwanza.
@Iamfelixtz Timu yenyewe zinajiendesha kwa shida hizo M 100 zinatoka wapi kama si habari za kutunga hizo? Hivi mmeenda kuthibitisha kwa uongozi wa Mashujaa na wakasema kweli wamaefanya hivyo?
@NakapapeF64823@earadiofm@nsajigwa_senior Kanuni unataka utoe taarisha ya kuhairishs kwa mechi ndani ya muda gani? Au mnadhani kuhairisha mechi sawasawa na kumwambia mwanao leo usiende kucheza. Hivi mnahisi viongozi wa Yanga ni wajinga?
@JumaAyoo Wewe jamaa unajadili vipi matukio ya mchezo ambao huajacheza ndicho kinachohojiwa. Pia tangu lini mchezo unahairishwa chini ya masaa 24 kulikuwa na dharura gani hasa?
@SimbaSCTanzania Mkurugenzi wa bodi ya Ligi alisema hamchezi mechi zingine hadi waadhibiwe wale waliofanya mshindwe kufanya mazoezi? Sasa inakuwaje mnachezi mechi zingine zinazoandaliwa na Bodi ya Ligi?
@MwijakuBurton Kosa la Katiba ya nchi gani? Kumbe hata hujui mashindano huendeshwa kwa Kanuni na si Katiba. Nahisi wewe ndiyo utakuwa huna shule kuhusiana na michezo.