@prossoff Nou broh, sijawahi na wala sifikirii kama itakuja kutokea kumuomba mke wangu kinyeo, na sio tu mke wangu hata mwanamke yoyote nitakae kutana nae faragha, siwezi na sitoweza, OVER!
@Savasec Ni kweli lakini sio wote hawapendi kuwajengea wazazi wao huko kijijini, tatzo ukiwajengea tu wazazi huko kijiji basi unadedishwa wewe unaeleta maendeleo ya wazazi wako kwanini waishi pazuri au wao wanadedishwa, so ndo mana mtu anaamua kuishi nao au kuwajengea tofauti na kule..