Wapya tuungishane jaman mwenzenu nauza mayai ya jumla na rejareja, Mayai jumla medium size 7000 kwa makubwa 7400 bei za kizalendo na mikoani tunatuma.
Eneo ni kitunda,Masai road,
Mawasiliano 0677210276 usisahau kuretweet mteja anaweza akawa kwako tuinuane.
Kiini njano trei buree.
#TajiriLaKihaya
Dah! Aisee hatuijui kesho yetu…
Huyu Konda wa ABood huwa Ananiletea vyakula vya nyumbani kutoka kwa mashangazi zangu Bukoba💔
Leo ilifaa aniletee Senene kutoka kwa sister… maana juzi na jana mitego yangu ilivyua senene kibao!
Jana kaweka hii status akiwa anajianda na safari… leo naona habari mtandaoni kapata ajali…
Aisee… such a loving soul… nmeumia saana aiseee….
Nipo kwenye kipindi ambacho REPOST yako 1 tu inaweza kuokoa maisha yangu mpaka nikashangaa please do not skip REPOST 🙏🏽.
Urban Chill Music T8 2nd GENERATION
TZS 220,000/=
Call/Whatsapp 0716006808
Mzee wangu MWANDAMBO anatumia Lugha nyepesi sana kuelewesha watanzania.
Usipoelewa hapa Uza simu hiyo kaongeze kwenye mtaji wa biashara yako.
Repost 200
TUTAKUWEPO🫵😎
#TajiriLaKihaya
Sema tu ni kwa vile Mabinti wengi wanapenda tu kuishi maisha ya kuigiza…
Wapige picha mbili tatu kwenye hotel ya kifahari na Maua kadhaa na msosi wa nguvu…
Apost mtandaoni apAte likes za kutosha alafu siku ikiisha Arudi kimara matosa huko au kigamboni ndani ndani kabisaa huko kwa gheto walilopanga na rafiki yake- siku iende…
Lakini kiuhalisia MWANAUME anaekupenda hawezi ishia kukununulia maua ambayo yata nyauka ndani ya siku tatu…
Mwanaume anaekupenda - Atakupatia Mtaji ufanye biashara yako…
Mwanaume anaekupenda Atakupangia Nyumba nzuri uishi mwenyewe uache kujibana bana ghetto…
Mwanaume anaekupenda atakuheshimisha kwa kukuweka ndani uwe mke wake- Akuoe…
Akiwa bado ni hustler… atakuheshimu na kukupenda siku zote sio siku ya Valentine tu!
Leo, 𝐌aster Ki aliingia kwenye duka la mshkaji wake Clement Mzize na kufanya shopping ya Tzs 2M.
Zaidi ya hapo, alitoa 1M kuwanunulia nguo mashabiki wa Yanga ambao waliokuwepo dukani hapo.
Hii ndiyo support ya ukweli bwana, sio kusema "yule blood kabisa" alafu hamnunui!
@Eng_Matarra Sasa huyo ndio mwamba katuwakilisha vema apewe maua yake ,Hilo sotojo asiliache iwe anajipigia kama pombe ya ngoma ya kujifunzia style mpya.