@baraka_asege@munyamambogo Mimi nilipanda kutoka iriinga kwenda dodoma, wana customer care nzuri sana na wanakutumia na message baada ya safari kukushukuru kwa kutumia usafiri wao
Ibilisi alinipanda kichwani sasa mimi ningefanya nini? Afande nilegezee kamba nikupange afande.
Kuna hawa wanaumeโni kama wanatoka kwenye chuo cha "Mind Games and Emotional Disruption".
Let me explain...
Thread:๐
@Mobell_nation@fbuyobe Au kubadili kutoka plastic bags to woven bags au paper bags, na wauzaji wakabidhi mifuko LGA, which Magufuli hakutaka, alitaka siku regulation imeanza kazi na mifuko yote itoweke.
@Mobell_nation@fbuyobe As I know, makamba kwenye mifuko ya plastic alikuwa anafuata procedures, huwezi kumfungia mtu mwenye uwekezaji wa kiwanda cha mifuko ya plastic ghafla tu, kwa hiyo baada ya regulation kuanza kufanya kazi, wenye viwanda walipewa 6 months as grace period wawe wameacha production..
Vijana wa vyuoni mnaelekea UE, nanmkitoka hapo mnaenda kwenye field studies. Lakini wengine wanahitimu na kwenda kupata Internship baada ya tunuku.
Sasa haya ni mambo muhimu sana ambayo mkipata nafasi mkazitumie vyema. As you know hizo chansi ni chache.
Wamiliki wengi wa Bajaj na Pikipiki wanapata changamoto kubwa sana kuvisimamia hivi vyombo.
2016 nilishawahi kumiliki bajaj Jijini Mbeya. Nilipiga hesabu za kwenye karatasi nikasema wow mambo si ndo haya.
Nikavuta mpunga kutoka SACCOSS nikaenda kwa G-Town. Hao tukawapata tembo