@iamcleopatricia Acha ulimbukeni bas na wewe mbona kama haujasoma, Hii risiti ya juu alitoa pesa kutoka kwenye a/c yake ya CRDB then kuna risiti nyingine ipo chini wewe na unafiki wako na kukurupuka umeicrop ambayo pesa aliyowithdraw kutoka bank ya CRDB ameituma kwenda kwenye akaunti ya hospitali