A 24-year-old previously healthy athlete suddenly collapses during intense exercise.
What is the most likely underlying cause of his sudden cardiac death💔⁉️
What is the Prevalence ⁉️
What is the black arrowed area indicate 💔⁉️
MANENO MAZITO SANA HAYA Mhhh!!!
"Mimi nitakuwa Mtu wa kwanza kwa nafsi yangu mwenyewe.... nitasema sisiemu ikataliwe kwenye uchaguzi Mkuu"
"Mimi namuomba Mungu nikiwa Mzee nisiwe kama wao"
"Tulifanya Mchezo na Mchakato wa Katiba"
"Katiba inayopendekezwa Haifai"
Maneno yanayoishi kwenye Mitandao ya kijamii milele ata milele mpaka mitandao itakapokufa......
Watu wanapitia mengi, magumu na mazito na hawasemi. Watu wanakutana na mengi yanawabadilisha na hawatoi taarifa. Wengine unakutana nao wanachangamka, wanajitahidi kutabasamu, wanakutia moyo unafikiri kila kitu kiko sawa kwa vile wameamua kukulinda usijue kinachoendelea kwenye maisha yao. Kuna wanaopambana na matokeo ya maamuzi yao ya zamani. Kuna wanaopambana na mkusanyiko wa hisia zinazowakumbusha maumivu, hatia na majuto. Kuna wanaopambana na tofauti kubwa ya ndoto walizowahi kuwa nazo na uhalisia wanaouishi sasa na hawasemi.
Wengine, unaweza kuwa nao karibu kabisa lakini hawana ujasiri wa kusema kinachoendelea. Hawa hukabiliana na maumivu yao wenyewe kwa kupunguza mawasiliano na wewe wapate faragha ya kujiuguza bila kukusumbua na kukubebesha mzigo. Hawa wanapopitia magumu hujificha, saa nyingine, wakiogopa kuhukumiwa, kulaumiwa na kueleweka vibaya. Unawapigia simu hawapokei, unawaandikia ujumbe hawajibu, unawatafuta hawashikiki.
Kabla hujamlaumu mtu kwa kutokukutafuta, kukupita bila kukusalimia, kushindwa kukufanyia vitu vidogo vidogo kama kupokea simu zako, fikiria uwezekano wa mengi mengi usiyoyajua yanayoendelea kwenye maisha yake. Kabla hujataka kuambiwa usiyoambiwa jiulize ukiujua mzigo anaoubeba mtu kimya kimya utamsaidia kuutua au ndio kwanza utakuwa umepata mifano ya kukolozea stori kijiweni?
Ukipunguza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu inakuwa rahisi kuamini mtu ana sababu za msingi kujitenga kidogo na wewe na sababu hizo hazikuhusu wewe. Ukweli ni kwamba kuna mtu anaona kuliko kukudanganya au akuambie ukweli umuhukumu, mara kumi akupunguze kidogo. Unaweza kujiumiza sana ukitumia uzoefu wako binafsi na mambo uliyowahi kukutana nao halafu ukaamini unaweza kuelewa maamuzi ya mtu bila kumsikiliza.
Hapa nimekuwekea hizi video mbili, ukiangalia Kuna jambo kubwa sana utajifunza.
Bro ameongea point mno na ni mtu na nusu, Watoto wenu huko wanafundishwa kuongea kiingereza kuimba upuuzi na kukata viuno, and not about technological innovations.
Dear wafalme,
Itumie mitandao kujifunza, kuumba na kukua.
Epuka kumtukana mtu usiyemjua hasa mtandaoni.
Wengine wanaishi na maumivu na hawajui kupotezea.
Ataamua kuacha kila kitu, kukuwinda, atakupata na ataitoa roho yako.
Lumbar Puncture (LP)
Definition:
Lumbar puncture is a sterile procedure in which a needle is inserted into the lumbar subarachnoid space, usually at L3–L4 or L4–L5, to obtain cerebrospinal fluid (CSF) for diagnostic or therapeutic purposes.
#LumbarPuncture#SpinalTap#CSF #Meningitis #Neurology #InternalMedicine
Dear wafalme,
Bila kuwaelewa wanawake, huna nguvu kabisa juu yao.
Kuwashawishi wanawake, unatakiwa uwaelewa kiundani kabisa.
Na bila kujua kutumia uongo mtamu, kamwe huwezi kuishi nae.
Hata kama unamshawishi kwa hela ni suala la muda tu kukuacha.
Mwisho.
Simps out there.
Msidhani simping kwa mademu ndio trap ya kuwapata.
The moment unajishusha sana na kuwa available ndio anakuona upo desparate sana na anaanza kukuzungusha.
The more unamfukuzia kwa nguvu the more anakukwepa.
Give the fuck to fuckworth.
BE SOLID.
Wanaume wengi sikuhizi tunaishi na wanawake zetu ambao wanachukia EX zao kuliko wanavyotupenda sisi. We dating ladies with lots of hate kwa wapenzi wao wa zamani kiasi kwamba.
Chuki inazidi level ya upendo wanaotupatia, kutuonyesha na kutujali which is not fine.
Kiuhalisia upendo ulifaaa kuwa mkubwa kuliko chuki kwa wapenzi waliopita na hapo tungeishi maisha ya kufurahia tena sana.
Wanamaumivu makubwa sana kwenye mioyo yao so kama pain is what she have been taking in these girls won't have love in their outlet.
Somo leo liende kwa mfano.
Haujawahi kuingia kwenye mahusiano mchumba kakukubali vizuri anakuchangamkia then baada ya muda anakwambia anahisi hana utayari kwa sasa?
Basi hapo maumivu ya kumkosa mpenzi wa zamani au mahusiano ya yaliyopiya bado yanakuwa yanaishinda furaha ya mpenzi wa sasa.
Sijui kama mmenielewa wanangu sana.
Umbali wa kihisia na ukimya vinaweza kuumiza uhusiano zaidi ya watu wanavyofikiria.
Ikiwa mtu anataka kuzungumza nawe na kutumia muda na wewe, usimfanye ahisi kama tatizo la kujali.
Usikivu na mawasiliano ya kweli si mzigo.
Ni sehemu ya uhusiano mzuri.
Dear wanawake,
Heshimu Mwanaume uliye naye, mvumiliane
Pinga ila huwezi kuishi bila Mwanaume
Achana na femin!sts & single mothers wanaokwambia "INAWEZEKANA"
Umeona yule dada anayejiuza na anagawa milioni 5!
Hakuna anayemtaka serious sasa ameamua kuhonga ili apate kusitiriwa.
Ukiwa broke madem wanakudharau, treat you like trash & disrespect you as fuck!
But they expect you to respect them, not to objectify them & stay loyal when you beat brokeness & secure that bag
It's no surprise how moneyed niggas don't care about them bitchez.
Secure the Bag.
Watu wanaofikiri kwa undani mara nyingi hupendelea upweke kuliko umati wa watu.
Hawahitaji kuwa na marafiki wa kila mara kila wakati.
Wakati mwingine ukimya huwapa amani na uwazi zaidi kuliko kuzungukwa na watu.
Watu ukijaribu kuwafungua ubongo wanakuona umechanganyikiwa. Mara achana nae huyo kichaa.
Nawauliza in capital letters.
JE MTUME ANGETOKEA SONGEA KULE, MNADHANI WAARABU WANGEMKUBALI NA KUFUATA MAFUNDISHO YAKE?