Wananchi wanaendelea kudai haki kupitia chama kikuu cha siasa Tanzania.
Seriously, CCM kupata crowd kama hii ni lazma mabasi yawe prmbeni hapo na pesa za ziwepo za kulipa watu waende ila Chadema, wananchi wanaenda kwa nguvu zao wenyewe na pesa wanatoaโฆ
CCM sio chama kikuu tena Tanzania, ukifanyika uchaguzi leo hii CCM ikipata wabunge 10 kwenye majimbo itakuwa maajabu, kwenye urais ndio kabisa. CCM inawekwa madarakani na vyombo vya usalama na mahakama. CCM wao kama wao hawana nguvu ya umma anymore, walichonacho CCM kwa sasa ni SILAHA za kuwasaidia kushikili nchi kinguvu. Na historia ya dunia inatuonyesha kuwa utawala wa hivi huwa una mwisho mbaya na wananchi huwa wanashinda mwisho wa siku.
Watanzania hakuna movement ya maana tutaweza kufanya kupitia X. Ni lazma tuzipate accounts za instagram.
Ukombozi uko instagram na tiktok, huku X ni kwa ajili ya ku-communicate na dunia Ila hakuna connection na wananchi inaweza kufanyika kupitia X.
@tausilikokola@Liberatus80 Lazma tupush tupate senate intervention or hearing juu ya meta. Bila kupata platform ya instagram tutaishia kupiga midomo ila mobilization ya wananchi hakuna. Na CCM wanachoogopa ni wananchi kudai haki sio wana harakati kupiga kelele ambazo hazina effect kwa wananchi.
Sasa hivi what we need is kuamsha wananchi wawe focused kama kipindi cha uchaguzi. Tukimix mobilization ya wananchi kupitia social media plus international pressure tutashinda. Ila kwa hii strategy ya Sasa, just pushing for international pressure bila pressure ya wananchi hatutoboiโฆ.
Bila kupata accounts za instagram hakuna movement ya maana tutafanya.
We have to push for @meta to face pressure from human rights organizations and the senate to reactivate my Instagram accounts.