@dahboss_vibez It must be remembered that when a woman says "NO" that's the start of the conversation. And when a man says "NO" that's the end of the conversation
@Mdudu1808@YoungAfricansSC@MangiwaKwanza1 Tunaelewa inauma. Maumivu yakipungua utakuwa umepona usijali. 😀
Na mlivyo mazwazwa kabisa alitambulishwa Simba day na mkashangilia kabisa. 😀
Maisha Bhana kuna mtu anahitaji 50000 tu atatue changamoto zake, kuna mwingine Laki, Mwingine 1M, mwingine 5M, mwingine 10-100M, Hatafunani shida 😂Mtu akikwambia anapitia wakati Mgumu Financially usichukulie poa.
Ukisema nina Degree, Una maana?
Degree of Law
Degree of Medicine
Degree of Engineering
Degree nyingine ni Ushahidi tu kuwa Ulisoma Chuo Kikuu 😂🙌
Sio kwa ubaya wasomi 😂😂🙌
Kwa miezi 7 sasa naamka 4:30am.
Ninasali, najisomea (chochote kipya kwangu), nafanya mazoezi, meditation na kupangilia siku.
Simu naishika kwa mara ya kwanza saa 6:00 au 7:00am.
(sidhani kama nataka kuamka na notifications yoyote, dunia itakusubiri jiweke kwanza)
Faida nilizozipata baada ya miezi 7 ya kuamka mapema ni hizi👇
Thread🧵⤵️
if your laptop is missing vitu kama bluetooth, wifi and sometimes sound inamaanisa kuna drivers haziko installed.
to fix this just press windows+R,
then type cmd, enter
then type driverquery/v, enter
it will update all the drivers and fix all that