Came as a king left as a legend. Thanks to all the simba supporters for the love ❤️ credit to my teammates and supporters for being part of my journey 🙏🙏
HAKUSTAHILI KUPITA NJIA NGUMU KIASI KILE
Wakati mwingine dunia inatuweka darasani kujifunza masomo ambayo hatukuwahi kuwaza kujifunza. Pengine hata mitihani ya hayo masomo hatujui itakuja lini
Tabasamu na uchangamfu wake vilificha mengi lakini hakustahili yale #Thread
1/7 Attention Deficit Hyperactivity Disorder (ADHD).
Kwa wafatiliaji wa hip-hop ya nchini US, hili neno laweza kuwa sio geni kwenye fikra zao kutokana Na kutamkwa Sana na Msanii Joyner Lucas ambaye aliwahi kukumbwa na tatizo Hilo miaka ya nyuma akiwa mtoto.
Gari aina ya VX V8 iliyokuwa inakimbia kwa spidi kali eneo la hifadhi imemgonga huyu swala pale eneo la Mdori, muda mfupi kidogo uliopita, na kukimbia. Tunaendelea kuisaka gari hii. Mhusika anapaswa kujisalimisha mwenyewe polisi ama hifadhini kwa hatua za kisheria. #HK