Wanaume ni viumbe muhimu ila wapo katika hatari ya kupotea.
Inapaswa kulindwa , na wapewe chochote wanachohitaji.
Kwani bila wao , sisi Wanawake si kitu.
Tunawapenda sana 😘😘.
New Design PLASTIC SILICONE
Double Zipper
Full Set 240,000/=
Size Kubwa 90,000/=
Size Ya Kati 80,000/=
Small Size 60,000/=
Extra Small 25,000/=
Napatikana Kariakoo Uhuru Na Nyamwezi (Mtaa Wa Mabegi)
0659647989
Delivery Popote Ndani Ya Dar
KARIBU SANA
Wameingia watu wawili wenye bunduki za vita ndani ya basi. Watu wengine wawili wakabaki mlangoni wakiwa na bunduki. Wakasema “tumemfuata mtu wetu”. Wakapiga marufuku mtu yeyote asijitingishe kushika simu na kupiga picha. Wakamchukua Mzee Ali Kibao. Pia, gari hilo halina camera.