Matokeo ya kura za Urais Kenya hadi jioni hii, kura zinaendelea kuhesabiwa.
Raila Odinga —kura 6,466,735 -49.52%
William Ruto —kura 6,409,588 -49.08%
Wajackoyah —kura 56,746– 0.43%
Waihiga —kura 29,122 — 0.22%
#MillardAyoKENYA
@Kenyans Odinga is the 5th elected President of the Republic of Kenya.
Ruto has shown his failure due to his abusive language angainst his fellow presidential candidate Baba Odinga.
Kwenda shule na kutokwenda shule sio sababu ya mtu kutofikia ndoto za maisha yake,Bali maono,uthubutu na bidii katika kazi,kipaji au jambo unalilofanya.💥💥
"Kwa bahati mbaya wote wenye changamoto ya afya ya akili ni watu wa kawaida, uko nae kazini, ana tai, ni mume wako analeta mshahara, mnakula...kumbe ndani yake ana changamoto".Dk.Chris Mauki-Mtaalam wa Saikolojia.
#Kipimajoto
https://t.co/5P0ELvNT5X
@ireneigora Kama huridhiki na Malalamiko ya Watanzania kuhusu kupanda kwa Mitozo na Bei za bidhaa mbalimbali ikiwemo vyakula , usafiri na mafuta kila kukicha , hujazuiwa, Amia Rwanda na Zambia kwenye maisha ya ghalama unayoridhika nayo.....
Mkulima anatafuta mbolea, anahangaika kule, anafukuzana na nyoka, matope ni yake,wakati wa kuvuna ni yeye, halafu avune umpangie bei. Bei itajipanga yenyewe, wakati wa kuwapangia bei mazao yao umekwisha".JPM, Nov.2019
Ewee!! Mama Tanzania Angalia wanao wanavyodhalilishana.Serikali ikemee kwa ukali Sana utamaduni huu was kumshambulia Marehemu. Sio Jambo la heshma hata kidogo.