@BillyTronix1@George_Ambangil Nais alichonacho skelly labda stamina dogo ana Nguv sana ila changamoto yake kubwa pale anapokokota mpira akipolwa basi jua kuna uwezekano mkubwa tunafungwa anaacha space sana kwa jicho la mpira yule oneil mtu
@Sirjeff_D Ila jamaaa ni mjanja big IQ sana alitengeneza script vizur sana kwenye kucheza na mitaj ya watu kaisema serikal then upate sympath ya jamii serikali ikueke ndan uje na izi ngonjera kiukweli watesi wako wanakusubir utoke muanze upyaaa kudaiana ๐
@eli_njex@Wakazi Unamjua mopao kaka ama? Au Umemjua tu katika ngoma ya gwasuma kwa kifupi nyimbo zake zilpenya kabla youtube and insta ticktok hazijaanza ila nyimbo zake zimepenya afrika ulaya kote embu rudi kasikilize ngoma alafu uje tena na jibu lako
@GeorgeJob14 Nais kwa viungo waliokuwepo hapo wameitumikia zaid spain kuliko yeye kwa kipind kirefu zaid senna he was good ila late in 2008 walivyochukua euro ile ya kina guiza capdevila etc ila generation ya kuanzia 2009 had 2012 sena hakuwepo alipoteza namba kwa bosqte
@INFLUENCERjr Sasa kwan uwanja wa old traford unabeba watu wangap ukiangalia kila kiwanja capacity yake and ratio unaona zote zinafanaaa mngekuwa mna avarage ya 75 tungesema superb
@TZMsemajiMkuu So uwekezaj wa tirion tatu gsm metl azam ata wangejoin force wangeshindwa kwel tukawatoa zambia basi kuna wizara mpya ya vijana iyo wizara inakazi gan kama fursa iyo wakapewa vijana wenye mitaj tanzania kina vunjabei wasaf group etc
@MARGARE33961115@MariaSTsehai Iyo wote naliliuuu ndo muktaza wa iyo agenda ila ilo la pastor ni nyongeza tu all in all naamin hakuna kitakachompata tuendelee kuomba mishikamano katika jamii zetu tusigawanywe na itikadi
@ZenjiboyZnz@sportzoneafrica@ReganTesla_ Ivyo basi ukiona Mtu aoi or aolew na anakula anashiba basi kama hajipambi na kufanya ibada ya kufunga ukimwekea uchunguz utaona tu atashindwa kuish maisha ya yesu ya kuish bila kuoa or kuolewa
@ZenjiboyZnz@sportzoneafrica@ReganTesla_ Hakuoa ila ukijiuliza maswali ya kiroho utapta majib hekma ya Mungu ilivyo kubwa Hakuoa koz alijaliwa kuw na uwezo wa kufung na tunashauriw kam ukijiona huna uwezo wa kuoa basi jipambe na kufunga mana ukifunga utakuwa katika ibada alywaz zinaa unajitenga nayo