@SuluhuSamia Hongera sana mama yetu Kwa hotuba nzuri sana haswa Ile ya kulinda Taifa letu la Tanzania Kwa wale ambao wanatishia amani kwenye Taifa hili,tupo pamoja na wewe mama๐๐
@TanzaniaLeaks Mkuu wa jeshi la polisi Tz anatekeleza wajibu wake kisheria hamuwezi vunja sheria za nchi hii alafu yy km mkuu wa jeshi la polisi akae kimya hiyo haiwezekani,Mkuu IGP Wambura kamata wote sweka lumande
@TanzaniaLeaks Watanzania Tupo na mama yetu samiah na daima tutamuunga mkono Kwa sababu tunamuamini na yy ndo kiongozi wa Taifa letu la Tanzania ieleweke hivyo
Tumuunge mkono Rais Wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh.Dr. Samiah Suluhu Hassan kwenye Uwekezaji wa Bandari zetu...Mama vijana tupo nyuma Yako kwani tunahitaji maendeleo kwenye Taifa letu na tunaimani kubwa sana na wewe!!