Tafuta watu wawili au watatu katika maisha yako ambao hawataogopa kukuambia ukweli.
Ukweli unauma, ndiyo. Lakini mara nyingi kile kinachokukasirisha leo ndicho kinachokusaidia kubadilika kesho.
Usiukimbie ukweli; utafakari kwa utulivu.
Habari za asubuhi, @RahmaMwita
Nakutakia siku njema yenye mafanikio, utulivu wa moyo na hatua mpya za maendeleo. Endelea kuamini kwamba juhudi unazoweka leo zina uwezo wa kubadilisha kabisa kesho yako.
Kila la heri katika maandalizi yako na katika kila hatua inayokufuata.
Kuomba msamaha ni kukubali kosa, mtu yeyote anayeomba msamaha huwa anakili wazi kuwa alifanya kosa kwa maksudi. Mtu wa namna hiyo huwa hasamehewi anayesamehewa ni yule aliyefanya kosa kwa kutokujua
Mzee wangu ukiharibu jambo, ukajitetea eti "bahati mbaya" alikua hataki kusikia.
Aliamini bahati mbaya ni kichaka cha Uzembe.
Ukichunguza kwa makini ni kweli.
Leo Juni 6 ni kumbukumbu ya kuzaliwa wa Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Ndugu @JaneRithe
Sote tunamtakia maisha marefu, afya njema na mafanikio katika majukumu yake ya kila siku.