@BabaMwita Sasa tutakuomba picha za mikataba yoote ambayo serikali imeingia. Utakuwa nazo? Mmekosa hoja sasa mmekuwa kama KATUNI. Hiii ngoma IMEWAELEMEA kwakweli
@AbroadTanzania@MabulaNaom5028 Hayo maswali hamna majibu, 77% ya watanzania walikataa mfumo wa vyama vingi lakini serikali ikaamua. TEC walikuwapo? Maana naskia tuh eti sauti ya wengi ni sauti ya Mungu (huu ni uongo).
@msangijeff @TonnyAdamms Hoja zipi zilizoisha wakati mpaka mahakamani watu wameenda wameshindwa. Kufanya dini ni DILI hapo ni shida. Maana kuna dini na DILI.
@AbroadTanzania@Chrislaus1599 Wewe unaujua uislam wewe? Hakuna kitu utauliza kwenye uislam USIPATE majibu yake. Uislam huujui.Uliza elimu ya uchumi, biashara, mikataba na kila kitu.
@AbroadTanzania Ndio uelewa mpaka wa kukubali homosexual, sawasawa.Kisha unauliza swali usilolijua. Labda ungeuliza malengo ya Roman Empire tangu enzi hizo. Usije huko utapasuka.
@StephanoAlbert9@siadevinci Hata pale mwaka 1992 wananchi wengi takribani 77% walikataa mfumo wa vyama vingi, TEC wao wakisimamia kuwa sauti ya wengi isikilizwe. Siku zile walikuwa wapi? Kazi sana yaaani
Join the next generation of Transformational Leaders!
We are thrilled to announce that applications for our September 2023 intake is now open.
Visit our Website on https://t.co/j2i325yKdZ for more information.
#ExperienceKeMU#MakeADifference#SeptemberIntake#ApplyNow
@adamaugustino12@Jambotv_ Kama yanavyopaza sauti kwa Trump kule anavyohangaishwa na makesi sio? Au Amnesty ni kwa ajili ya Africa tuu? Sijui miafrika itaamka lini.
@gracemashole@salim_alkhasas Kwamba mfano mtu anasema atakuua, kwa hiyo tumuache mpaka akuue kwanza ndio tumkamate sio? Ndio akili za sayansi na teknolojia hizi au sio? Basi sawa.
@MarekaMalili Wewe unajuana na wenzio wa huko Geita na Namtumbo labda huko, wenzio wanajuana na wazungu ambao wanazitaka mali za nchi hii , na ndio maana hata akitishiwa kinyago tu huyo kashakimbilia huko. Utasikia huyoo Australia. Uwe unaelewa tunaposema Australia.