@maestrowafact Hivi msanii akitoa burudan kwa watu Wa kawaida ni dhambi!? Mbona hatushangai ngano za kina MO na bakresa zikuzwa vichakan kabisa Ila tunashangaa msanii akiamua kupeleka burudan kwa watu huko ndan ndan
@MkulimaKante Hizo Gari zipo nyingi Sana machame kwenye majumba ya watu Tena zipo katika hali nzr Ila haiztumiki hasa kwa maofisa walio fanya kazi Enzi za ukolon na walio bahatika serekalin miaka hiyo