Musoma - Dar es salaam haijapatikana chuma ya kufukuza hizi ELV.
Naambiwa hapa wenzake wenye ruti moja huwaga wanazitoroka, ila hizi ELV zikikuweka mbele kutoka Dar es salaam, hautoboi Sekenke umeliwa.
Zina kifua sana sababu ndo basi pekee Tanzania zenye HP kubwa mpaka sasa.