Katika Safari Yako Ya Kutafuta Maarifa...
Jitahidi Kusoma Hizi Skills...
▻ The Power of Human Psychology,
▻ The Science Of Human Emotions,
▻ The Power of Persuasion,
▻ The Power Negotiation,
▻ Dark Psychology
▻ Copywritting,
As Long As Una Deal Na Binadamu...
Iwe online
ama Ofline,
Unatakiwa kupata maarifa na taarifa...
Kuhusu namna ya ku-deal na hiki kiumbe.
Jitahidi sana usiende kama kipofu...
Na hata kama WEWE ni kipofu,
Hizo Ni Fimbo zitakuongoza,
Mpaka unapotaka kufika.
...
FRANCIS | ABRACADABRA