Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
@zoetjesheeftX Naungana na wewe, jana kwenye salamu za rambirambi za Makamu wa Rais Dr Nchimbi imenithibisha pasi na shaka mzee alikuwa NTU WA KAZI. Kaitafute hotuba yake ya jana wala haihitaji D2 kuelewa hili.
Kesho keso ya UHAINI itaendelea.
Wapenda haki wote tutakuwa mahakama ya KISUTU kumtia moyo mpambanaji mwenzetu.
#FreeTunduLissu
REPOST 200
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
MDUDE BADO YUPO HAI.🚨
Nimepokea taarifa za mdude kutoka Vyanzo viwili tofauti kwa week hii. Na vyote vinathibitisha MDUDE yupo hai.
Hali yake ni mbaya sana na wamemuimiza sana. YUPO kwenye moja ya nyumba zao WATEKAJI hapa DAR. Hawajamuweka kwenye vituo vya polisi wanajua haya wanayofanya hayaungwi mkono na polisi wote.
Nichukue nafasi hii kumkumbusha IDI AMINI MAMA-Mdude aliandika Wosia september 19 2024 kuwa maisha yake yapo HATARINI anapokea vitisho vya KUTEKWA,KUPOTEZWA & KUUWAWA.
WOSIA WAKE aliuweka wazi kuwa muhusika mkuu ni SAMIA SULUHU HASSAN. Hata ikitokea jambo lolote kwake basi sheria ichukuliwe dhidi yake “SAMIA SULUHU HASSAN yeye na kizazi chache na kizazi chake mpaka YESU ATAKAPORUDI”
Turudishieni ndugu yetu, INATOSHA.
#FreeMdude
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Ruzuku ambayo MSAJILI amesitisha kwa CHADEMA ni kiasi cha Tsh. 107 Milioni kila mwezi. Ni wastani wa watu 10,700 kila mwezi wakichangia Tsh. 10,000 au watu 50,000 wakichangia Tsh. 2,140 kila mwezi. Tuweke nguvu katika #ToneTone tuachane na masimango ya MaCCM na DOLA. ASITUTISHE!
@rollymsouth Kikubwa sitting allowance, si tumekubaliana hivyo..? Alive kimya alive sinzia kama si kulala kabisa na hao unaowataja mwishowe wote watapata.