MODERN ACADEMIC SYSTEM DESIGNER (BEST SYSTEM FOR PREPARING RESULTS AND REPORTS THEN SEND SMS TO PARENTS QUICKLY) #10MINUTES SOLUTIONS IS YOUR BEST CHOICE.
Jipatie mfumo wa shule ya msingi wa Kisasa zaidi na rahisi kutumia, huhitaji internet, andaa ripoti za wanafunzi ndani ya dakika 10 na kutuma kwa wazazi kirahisi zaidi ya ripoti 1000 kwa mkupuo. Ewa Karibu tukuhudumie kwa bei nafuu
@BankOfTanzania kampuni ya FIC imeibia watu pesa billions nyingi. Mi naiona kama inahujumu uchumi wa Tanzania.
Lakini pia baada ya hawa FIC kuiba pesa wamefungua platform haramu zingine Tanzania
FIGURE AI na KSE na zingine, wanafanya money londering hawa pesa zinaenda nje.
@moodewji@SimbaSCTanzania Kosa la simba ni kudharau wazee, niwaibie siri, "Hao wachezaji wenu vijana hao, wakikua wakawa na utimamu tutawanunua". Mchezaji ni mtu wa mikataba mifupi mifupi wewe unawekeza malengo ya miaka kumi. Siwambii yote mengine mjiongeze!
@SimbaSCTanzania Kosa la simba ni kudharau wazee, niwaibie siri, "Hao wachezaji wenu vijana hao, wakikua wakawa na utimamu tutawanunua". Mchezaji ni mtu wa mikataba mifupi mifupi wewe unawekeza malengo ya miaka kumi. Siwambii yote mengine mjiongeze!
@HildaNewton21 Hiyo kawaida round table nayo ya kupayuka, nikajua kasepa na Billions of money, kauza nyumba, kumbe mishumaa tu, huyo mama atuondolee kimuhemuhe chake hapa.