Presenter, Content & Digital Creator @DidasTV ~~~
INNOCENT FACE DIRTY MIND π½π½~~~
Football, Basketball, Movies & Music Pundit~~~
Instagram @Killer_Msafi
Vinara wa Mabao CHELSEA tangu Msimu wa 2017/18
1. Eden Hazard - 28
2. Mason Mount - 27
3. Tammy Abraham - 21
4. Jorginho - 21
5. Pulisic - 20
Katika Orodha Mshambuliaji Halisi ni Mmoja Pekee wengine wote ni Viungo, Nini Tatizo Safu ya Ushambuliaji ya Chelsea Kwa Misimu Nane!!!?
NEW MUSIC FRIDAY π¨π¨
ALBUMS
LIL UZI VERT - PINK TAPE
RYLO RODRIGUEZ - BEEN ONE
CURREN$Y & HARRY FRAUD - VICES
SINGLES
SPYRO FT FOCALISTIC - YOUR GUY "REMIX"
SPINALL FT WIZKID - LOJU
JAY ROCK - EASTSIDE
OTILE BROWN - MY SUGAR
KELTIEY & SKAIWATER - KN0
CHLEY FT MUSA KEYS
Albums Zijazo hivi karibuni:-
Drake
Lil Uzi Vert
Travis Scott
J. Cole
Future
Nicki Minaj
Post Malone
Kid Cudi
Trippie Redd
Chance The Rapper
PARTYNEXTDOOR
The Weeknd
Playboi Carti
Quavo
A$AP Rocky
Whose project are you the most excited for?
Imagine mtu anafurahia ujio wa TOTOZ za Sudan na yupo Magu Mwanza ndani ndani huko. MAGESE tulia endelea na kina MATILDA Hawa kina RAHMLA tuachie sisi πππ
WANAUME HALISI DAR TUPO 230. Katika wanafunz 500 wanaokuja 400 wote PISI KALI TUTAJIGAWA TU!!!βπΏβπΏβπΏ
Wakati tunajifunza kufwatilia Kikapu π Ottoman & #Juakali π¬ Mlikuwa mnatuona wajinga hatuna akili kumbe tuliona mbali ππ
Haya sasa Ligi zote kubwa Zimeisha watu tunapata burudani #WNBAβ―β―β― #JuaKali & #Ottoman Vipi upande wenu wazee wa EPL, Laliga, SerieA na Bundesilga π€
Kwa Zaidi ya Miaka 10 Timu iliyochukua Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA, Kwenye Kikosi Chao kulikuwa na Mchezaji kutoka Croatia ππ·ππ·
Inter Milan Wapo Croatians Wawili Marcelo Brozovic & Stankovic. Ushajua namaanisha Nini!!?? Poleni Sana Team Pep Historia huwa Inajirudia.βοΈ
Kwa Mujibu wa Kanuni za Soka Nchini Tanzania Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ndie atachkua Kiatu Cha Dhahabu Mbele ya Siado ambao wote Wana Magoli 17. Ila Mayele hana Goli Lolote la Penalt.
Kanuni hiyo ilitasfiriwa Mwaka Jana na Msemaji wa Bodi ya Ligi TPBL Boimanda.
NEW MUSIC FRIDAY π¨π¨
ALBUMS
1 IYANYA - LOVE & TRUST "EP"
2 AMAARAE - FOUNTAIN BABY
3 NVIIRI - INSIDE OUT
4 DARGUE - MORE LIFE
5 RORD KELLY - THE PAPER CHASERS
SINGLES
1 SIMI - STRANGER
2 BRUCE AFRICA - MY LOVE
3 PHINA - BANDAMA
4 BEKA FLAVOUR - ONE SHOW
5 MALUMA - COCOLOCO
"Viongozi wa Yanga Mmeomba ombi lenu kwangu na Mimi niombe kutoka kwenu, Malizene migogoro na Wachezaji, Suala la Fei Toto mkalimalize haiwezekani Timu Kubwa kama Yanga mkawa na Mzozo na Katoto Naomba mkayamalize"
Rais Samia
Pre-Season AVIC TOWN, Season Started ππ
Champions NBC Premier League π°
Finalist CAFCC π°
Finalist FA π°
Top Scorer π°
Most Clean sheets π°
Top Scorer CAFCC π°
WAPEWE MAUA YAO ππππ
Kuna watu walienda Pre-Season Morocco Mafanikio Yao ni MVUA ππππππ
Najua wengi wenu mliotazama "JOHN WICK 4" Bado hamjajua kwamba huyu kibonge mwepesi ni SCOTT ADKINS (BOYKA)
Na Bado hutatoka kuamini kama ni yeye kweli ila ndo hivyo huyu ni BOYKA πππ
Sakata la Fei naona hata Yeye Mwenyewe hajui anachokifanya, Maneno yake anakwambia ana Matatizo na Rais na Sio Klabu.
Swali CAS unaenda kufungua Kesi kuishtaki Klabu au Rais!!!??
Kylian Mbappe: "Alichofanya Ronaldo akiwa Juventus katika misimu 3 kinachukuliwa poa sana, alienda akiwa na miaka 34 na kufunga mabao 100+ kwenye ligi yenye Mabeki wagumu zaidi Duniani, wakati mwingine hawapimi kwa yote aliyofanya, Bora wanyamaze kuliko kuendelea kumkosea."
Lebron James huenda ikawa amemaliza Career yake Kwa Maumivu baada ya Kupigwa FAGIO (SWEPT) 4-0 Na Denver Nuggets kwenye #NBAPlayoffs2023
Katika Historia ya Lebron Amekuwa Swept mara Tatu
1. 2007
2. 2018 Dhidi ya Golden State Warriors
3. 2023 Dhidi ya Denver Nuggets
Kwahiyo Leo CHELSEA watawapigia Makofi Man City Kwa kuchukua Ubingwa wao "GUARD OF HONOR" Mbona hamna huruma na Hawa watu jamani πππππ
Sema Ndugu zetu inaelekea wanapenda Sana kuwa Guards of honor walifanya Kwa Man United, Leicester, Man City πππ€£π€£π€£