Maandamano ya 7/7 yame wamempanikisha sana Nduli Idd Amin Mama na genge lake.
Sasa hivi wametoa Tangazo kwa Maafisa Watendaji wa Kata ili washushe kwa Wajumbe wa nyumba kumi ambao ni maccm wenzao eti kuanzia sasa wajumbe wa nyumba kumi wakiona mtu ambae ni mgeni kwenye maeneo yao watoe taarifa kwa Watendaji au Polisi.
Lakin pia Watendaji wote wa Kata nchi nzima wamepewa kazi ya kuzungumza na Madereva wa Bodaboda waliopo kwenye maeneo yao kuwaomba wasiandamane Julai 7, 2026.
Wauaji wamejaa upepo sana, wanahofu utadhan wanaoga njee yani sikujua kama ni waoga kiasi hiki.
Dr Faraji Kasidi Mnyepe - Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi aliteuliwa 2018 na Magufuli
Huyu atatusaidia kujua haya madudu ya
End User Certificate iliyotumika kuuzia silaha haramu na za kijeshi kwa drug cartel ya Mexico - ilichongwaje?
Haya bana mafedhuli mko bize kunipiga vita kumbe nyie ndo international terrorists kabisa maana mnahusika na uuzaji na usafirishaji wa silaha haramu kimataifa!
#TutaelewanaTu
Man !! Vijana Jeuri wanaopenda Nchi Yao, Ameingia uwanjani amekosa wa kucheza naye ! Wamekimbia na mpira ! Angekuwepo fundi je siwangefunga Nchi kabisa !! ONE LOVE !! 🥰🥰🥰
Siku nzima ya leo magari mawili ya polisi na polisi wakiwa wameziba nyuso zao na silaha kubwa kubwa, wamenifuatilia tangu nikiwa Urambo kwa kupokezana mpaka nafika Kigoma.. njiani nimesimama mara mbili kuwauliza shida yao ni nini kwangu hawakuwa na majibu ya maana.
Nimefika hapa Kigoma kila ninakopita na hapa Hotelin kwangu wamejaa maafisa wakiwa na nguo za Kiraia..
Mimi ni Mwanasiasa wa upinzani ninaetimiza wajibu wangu wa kikatiba… Chama chetu ni chama cha siasa ambacho kimesajiliwa na chenye haki zote katika Nchi hii.
Nimepokea taarifa nyingi kwa watu wema wakitaka niwe makini, wengine wanasema mimi na familia yangu tumetolewa maelekezo mabaya.
Nitatimiza wajibu wangu bila uoga wala hofu, hakuna mtu anaweza kuniondoa kwenye haki na wajibu wa kutetea Nchi yangu na watu wetu.
Ninawashauri watawala dhalimu kuacha kucheza na utulivu huu uliopo . Hofu haijawahi kuzaa amani, hofu huzaa hofu zaidi.
Hakuna siku nitakimbia Nchi yangu.
Hii mikutano ya hadhara inayoendelea na mwitikio mkubwa unaoonekana katika mikutano hiyo inawafanya akina Ahabu na Yezebeli wa nyakati hizi kutetemeka. Dhuluma na ukandamizaji wa haki, kuuwa na kutisha si vya kudumu! kilio cha kweli, haki, na uhuru daima kitapata sauti yake. Kama Maandiko Matakatifu yanavyotufundisha, kiburi na uovu vinaweza kustawi kwa muda, lakini mwishowe haki hushinda, na watu husimama kuwa mashahidi wa uaminifu wa Mungu na ushindi wa yaliyo mema na ya haki.
Zaburi 34:17 “Waadilifu hulia, naye Bwana husikia, na huwaokoa katika taabu zao zote.”
Zaburi 37:1–2, 10–11 “Usiwakasirikie watenda mabaya, wala usiwaonee wivu wale wafanyao uovu; kwa maana watanyauka upesi kama majani, nao watafifia kama majani mabichi. Bado kitambo kidogo, na mwovu hatakuwapo; utatazama mahali pake, wala hatakuwepo. Lakini wanyenyekevu watairithi nchi, nao watajifurahisha katika amani tele.”
Hakuna cha kusini wala Kaskazini tena, nchi nzima iko nyuma ya Chadema. Hiki ndio chama kikuu cha siasa Tanzania kwa sasa.
Baada ya October 29 hakuna Mtanzania anataka kusikia kuhusu CCM tena. October 29 CCM wali prove kuwa hawajali kuhusu uhai wa wananchi, wanachojali ni kundi dogo ndani ya CCM kushikilia madaraka at any cost.
‼️TURTLE ON TOP OF A TREE‼️
There is a Swahili saying that wisely says “if you see a turtle on top of a tree, it has been placed there (by someone)” (Ukiona kobe juu ya mti kawekwa)
The case of Sheikh Mwaipopo reflects very well this saying!
A sheikh with no official affiliation to any serious religious body, has repeatedly threatened peaceful protestors with goons, attacked openly the Catholic church for saying #FreeTunduLissu and continues to move around undisturbed by the same police force that jailed then abducted young Chaula for just burning a picture of Samia Suluhu! Tundu Lissu was violently arrested and falsely charged with treason for saying “No reforms, no election” and vowing to stand firm on this! They claim his words was tantamount to treason!
Yet Mwaipopo pops up wiith his vigilante goons and the police are claiming they are still investigating but not even questioning him! That is the turtle on top of the tree!
What does this mean? Who put this turtle on top of the tree? Clearly it is Samia Suluhu herself and her close circle including her son Abdul! Why? In order to stoke religious tensions and to justify the targeting of Christian religious leaders who have been vocal in criticizing her
Despite looming sanctions proposed by US Senate and European Parliament, Mwaipopo has repeatedly continued with his threats - lately trying to mask his religious agenda with having next to him a man wearing a religious collar as if he is some leader but nobody seems to recognize him! Childish 🚮
Samia Suluhu and her murderous cabal will not stop stoking religious tensions and will continue their violence!
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu
cc @Europarl_EN@SenateForeign@SFRCdems@SenTedCruz@SenatorShaheen@DGundersen