Kuliko haya majengo kuendelea kubaki Magofu na Kuharibika ni heri yapangishwe kwa bei nafuu sana kwa Vijana Wapambanaji wenye Makampuni, Taasisi, biashara na Vituo vya Ubunifu wa teknolojia. Tuna vijana wengi wenye Maono makubwa lakini wanakosa Mtaji wa kupangisha Ofisi za kazi.
The best way to protect your idea is to implement it..
The first version of your product doesn’t have to be perfect..
You can bootstrap, start with minimum resources possible..
Great ideas have barriers to entry if everyone can copy it..
what’s a point..
#JFourDiary