@privaldinho Tumia akili kidogo basi siku hizi naona akili zako zimetoka wakati mnaifanyia simba ujinga kule chamazi akasema anakwenda zanzibar mkasema nchi nyingine lakini mkaenda kucheza fainali we na azam leo hii unajua sheria za kuandaa mechi? Mwenyeji ulimuuliza?
@privaldinho Umia akili kidogo mdogo wangu na mpunguze ushamba kuisumbua simba siyo kupata ubingwa mnahaha sana mambo yote ya kishenzi mnausika mbona wewe ujatupa sababu za kuhama chamazi sindano za kazi gani mkasema uwanja hauna taa na viti mbona mmecheza na azam tena palpale
@mbwana_mshindo Simba zaidi ya kule mtakuja kusema muda ukifika hakuna timu inayobania wachezaji kama simba wengine mnasema tu anatakiwa kwa 3b harafu kimyaa
@krisBangala Mlikuwa mnalia hapa timu ya shirikisho kuongoza ligi mkatengeneza ajali simba ipo mashindanoni mnacheza ile weka tuweke mlikuwa mnakaa masaa sita umesahau
@privaldinho Tupe majibu wewe kwanza maana wale wajinga waliovunja sheria pale wametumwa na nani we hujuwi sheria za soka kwamba mgeni lazima apewe muda wa mazoezi? Kipi kimewafanya mzuie? Je kama msingezuia yangekuwepo haya makelele? Mpunguze ushirikia na utoto wengi vilaza
@1960Remija Mbona simba walipokataa udhamini wa ligi ulikaa kimya mkasema karia hafai mkachukua mara tatu mkasema hana mpinzani simba kafika fainali hamtaki kichaka fyeeeee