Nawashukuru wanafunzi kutoka SUA Morogoro kwa kufika Kisarawe jana wakiongozwa na Naibu Waziri wa Michezo Serikali ya Wanafunzi na Washiriki wa Miss SUA 2021. Nafurahi kuona jitihada zao katika suala la utunzaji wa Mazingira na ubunifu wanaotumia. Kofia walizovaa ni zao lao pia.
Nilifurahia zawadi mbalimbali ikiwa na miche ya miti ya matunda kutoka kwa wanafunzi hawa wa SUA- mabibi shamba. Wamechangia miche ya miti ya matunda kwa ajili ya kupandwa kwenye shule yetu ya bweni ya watoto wa kike ya #TokomezaZero