@tutuvengele1 TUDAI KATIBA MPYA TANZANIA SASA. Hata DIKTETA UCHWARA mwendazake alipiga Propaganda za kujenga uchumi na tumeona CAG alivyoanika ufujaji wa mabilioni ya kodi zetu. TUSIKUBALI tena kurudia makosa.
@MariaSTsehai Kwanza turudi nyuma saana nakuwauliza wamiliki wa viwanja hivo wanalipa mapato?je yanalipwa kiusahihi?kisha sasa tuzuie kwa nguvu zote kuchukua pesa za uma kukarabati biashara ya chama.