@HKigwangalla kwene boat kwenda znz tukisafiri na wale wanao tapika hua tunapewa mifuko ya kutapikia hatuambiwi kuna siti zetu watapikaji na ukiwa na kuku unapewa kijimfuko unaambiwa muhifadhi vizuri asichafue mazingira na ile ni mali ya mtu binafsi inakuaje hii treni ya uma
@HildaNewton21 wengi hawakufatilia katuni ya siku kadhaa nyuma ilikua na mpasuko mkubwa ambao ndio huo mstari sasa unajifunga na kiroboto kimetupwa na begizake nje
@GeorgeJob14 mwakinyo asikubali kupigana na huyu jamaa hiyo levo mpaka kafika hapo kisha dharauliwa saana leo kirahisi tu mpe shavu mtu ambae yupo tu anapigana na walevi