Haya milions of dollars to lobbyists - bure kabisa! Jumuiya ya Madola imetoa msimamo na ngoja niwape muhtasari! Wameona madufu yote! Sasa maazimio yako hivi ๐๐พ
Mapendekezo ya Mjumbe Maalum Chakwera kwa ajili ya hatua maalum ni kama ifuatavyo:
a. Ndani ya siku 30: kumtoa kizuizini Tundu Lissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria, na kuwaachilia wengine walioshikiliwa kwa ajili ya kutimiza haki zao kwa amani
Hapa wanaongelea waliokamatwa na kutekwa kwa sababu ya maandamano
b. Ndani ya siku 60: kurejesha ufikiaji kamili wa majukwaa ya kidijitali na kukomesha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Yaani wapumbavu mliona sifa kutufungia akaunti zetu na kufunga X - haya mmepewa siku 60 mjipange! Fungulieni mitandao na akaunti zetu! ๐ฅ๐๐ฝ๐
c. Ndani ya siku 90: kuitisha jukwaa la kuaminika na linalojumuisha vyama vingi lenye uwezeshaji usioegemea upande wowote, lenye mamlaka yanayohusu mageuzi ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa na uwajibikaji.
Kwa kifupi si maridhiano feki ila yale ya Samia Must Go na serikali ya mpito hatutaki longolongo! Na tunataka usimamizi wa nje! Ndo tutaridhika! Alafu #KatibaMpya ya wananchi
d. Kuanzisha, bila kuchelewa, uchunguzi huru wa jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, ikijumuisha masuala kama vile fidia ya waathiriwa, pamoja na ustahiki uliowekwa, ufadhili na muda uliopangwa.
Kwa kifupi Tume ya Chande haina mashiko sasa tunahitaji uchunguzi huru na tena watoke watu wa nje! Nyie wauaji hamuwezi kujichunguza
Narudia tutawabana KILA KONA!
Hadi haki ipatikane na tuweke nchi sawa! Hatutaruhusu mchezee damu za ndugu zetu na kutufanya watumwa kwenye nchi yetu!
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #JusticeforMO29
Msikilize vizuri BONGO ZOZO na haya ndio maswali ambayo tulitaka majibu yake.
Sasa walichofanya wakina KYANDE ni kuongeza maswali mengine magumu yanayoumiza mioyo yetu afu wanataka "Mardhiano".
KYANDE alichofanya ni kumsafisha DIKTETA jike kimataifa mikopo iendelee kuingia ila deep down wao ndio waliuwa na hatuna cha kuwafanya.
Inaumiza sana na hili wakoloni weusi wakae wakijua HAIWEZEKANI nchi ikarudi kama zamani bila kutibu majeraha tuliyonayo hilo HALIWEZEKANI.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA, John Heche kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa X ameandika hayo Aprili 26, 2026 ambapo aliambatanisha na kauli iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipoeleza kuhusu namba yake binafsi ya simu kuchapishwa kwenye Mtandao na kuhamasisha Watu wamshambulie.
Fuatilia mjadala huu kwa kubofya https://t.co/UbWK2lkldX
#JamiiForums #JFMatukio
KWENYE HII THREAD TUTAWEKA PICHA NA VIDEO ZA WOTE WALIOUAWA KIKATILI NA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN OCT 29.
THE WORLD CAN CHOOSE TO FORGET, BUT WE WILL NOT.
#MauwajiYaSamiaOct29#SamiaMassacreOct29
Frame 1โฌ๏ธ
Hakuna maridhiano baada ya uchaguzi
Maridhiano ni kabla ya uchaguzi, baada ya uchaguzi ni uwajibikaji
-Humphrey Polepole alitoa huu ujumbe wa mwisho masaa machache kabla ya kutekwa!
Na sisi tunashikilia hapohapo!
#FreePolepole#SamiaMustGo
@lifeofmshaba hii nchi inatia hasira sana...wakati tukisubiria ama stroke au ICC vimkumbe @SuluhuSamia ...tunaweza anaza tembelea majengo ya NHC waliyojibinafsishia...wasituletee usenge mangombe haya
Earlier today, the state staged a carefully constructed political theatre aimed at laundering responsibility for the October 2025 killings. The Chande Report, presented as an official account, has been widely criticised for sanitising state violence and obscuring accountability rather than establishing truth.
As you are all aware, under President Samia Suluhu Hassan, the CCM government has progressively tightened its grip on political spaceโrestricting opposition activity, narrowing media freedom, and intensifying repression of dissenting voices. Having struggled to contain domestic and international scrutiny, the regime now appears to be extending its narrative beyond Tanzaniaโs borders.
From this evening, through Friday the 25th and into early next week, a coordinated public relations effort is expected to unfold in Nairobi. Through state-linked actors, diplomatic channels, and contracted communication firms, a deliberate attempt is being made to present the report as credible and widely accepted, while actively shaping media narratives in its favour.
For the Kenyan media, whose tradition has been anchored in scrutiny and accountability, this moment carries clear implications. Historical precedent shows the regionโs press has often played a critical role in illuminating suppressed realities. That responsibility demands continued vigilance: not amplification of managed narratives, but rigorous interrogation of them.@citizentvkenya@KTNNewsKE@K24Tv@tv47news@tv47digital@Radio47_Kenya@RadioCitizenFM@SpiceFMKE@StandardKenya@NationNewspaper