@nikkwapili Kirutubisho cha kwanza katika mwili wa binadamu Ni Furaha, ukiwa na furaha vingine ni ziada ukikosa furaha unaweza kupaka ata make-up na usipendeze.
๐๐๐๐๐๐๐
Kabla sijaenda mbali, Nisaidie Kuretweet hii post ili iwafikie wengi Zaidi Wanaopenda kujifunza graphics design na Canva Kwa Kiswahili, Kila Siku. ๐๐๐
I wish to extend my most sincere thanks and gratitude to all those who wished me well on my birthday. It truly means a lot to me,Thank youโall for your love,I love you guysโค๏ธ
"Zamani ulikuwa unapambana peke yako, mimi niliona sio sawa kusafiri peke yangu nikawa nabeba nyimbo za wasanii wenzangu kuwapelekea MTV, swali langu hawa wa sasa hivi wanaweza kufanya hivyo, nilikuwa nachukua hadi nyimbo za Kenya ili kupigwa MTV" @AyTanzania
#SupaBreakfast
Thankย you so much for theย birthday wishes,Your wishes makes myย birthday so awesome,and that'sย thanksย to all the awesome people who took their time to send meย birthday wishes and spend with me.Thankย you!โฅ๏ธ